Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtihani ndio maana wengine wanaamua kuto kuoaNmewaza Sana kwajinsi navyohangaika kutafuta halafu siku ya siku nitangulizwe na Mali amiliki nguchiro mmoja!!! Daahh!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
marriage is a thing for poor people,nimeipenda sana hiiKuna jamaa Moja ana Hela nyingi Sana . Kauli mbiu yake Ni " I am too rich to get married"
He says " marriage is a thing for poor people"
Ukiwa huna Hela utachapiwa Tu lakini ukiwa na Hela unaweza kutangulizwa ili yeye abaki na Hela
Sasa kipi Bora kuchapiwa au kutangulizwa?
Huyo anayesema unadanganya hajawahi miliki pesa ndefu na kukutana na real face or the dark side of his wife.Cheka Tu lakini usiombee yakukute mkuu
Jinsia ya kike aisee ni top [emoji35][emoji35] kwenye swala la tamaa ya pesa na mali.Siku hiz wanakauli mbiu ya "tafta ela/pesa" kumbe wanatuamasisha ili waje watuue!?
Ila hiz tamaa za mali zipo kwa jinsia zote linapokuja kuja.swala la mali(pesa) uaminifu kutoeka ni jambo dogo sana