Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi.
Hakuna kitisho cha vurugu, fujo, wala uvunjifu wa amani tena nchini. Jeshi imara la polisi nchini, mmejipanga vizuri sana kuzuia, kudhibiti na kusambaratisha magenge ya aina zote za kihalifu nchini, kuanzia sasa. Hilo limewatia moyo sana waTanzania. Well done our very able Police Forces. Tanzanias are proud and peace over you.
Katika kipindi hiki,
waTanzania wengi zaidi wana imani kubwa sana na jeshi imara la polisi nchini, na wana uhakika wa ulinzi na usalama wao na familia zao, mali na makazi yao wanakoishi, kuliko wakati mwingine wowote. Kujaribu kupotosha au kupinga ukweli huu ni usaliti kwa Taifa na haiwezekani..
Asante sana ndugu Rais na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji huu muhimu na mkubwa sana katika wa amani, umoja na utulivu wa wananchi Tanzania.
Kwa hakika dhamira na nia yako njema inajidhihirisha nchini kote, na maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa yanaonekana bayana na kuimarika siku hadi siku, kwasababu ya amani na utulivu wa kudumu uliopo.
Mungu akubariki sana Mh.Rais na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan.
Mungu Bariki Jeshi la Polisi Nchini Tanzania 🐒
Nawatakia Nyote Jumapili ya Neema na Baraka za Mungu 🌹