Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

Tuwashitaki watekaji na wauaji kwa Mungu baba.
Awalipe sawasawa na uuaji wao.
Hilo ni muhimu mno aise...

Na hata wale wanaogoma na kudinda kutoa taarifa au ushahidi dhidi ya tukio lile baya sana, la mauaji ya kinyama ya kamanda Ally Mohamed Kibao, wajue kwamba wanasaidia kudhulumu haki na stahili za kamanda Ally Kibao,

Nao pia wataulizwa siku ya mwisho mbele za Mungu πŸ’
 
Unahitaji tiba ya afya ya akili ,unatakiwa watu wako wa karibu wakupeleke MIREMBE ukatibiwe.
muerevu umebaki na Mihemko na makasiriko tu 🀣

huna tena mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya ukweli wa hoja mahususi mezani, better you relax tu πŸ’
 
Mimi nipo kwenye kamati ya maandalizi nakwambia kesho hakuna lolote kwasababu tayari ujumbe wetu umefika kila mahali!
 
Mimi nipo kwenye kamati ya maandalizi nakwambia kesho hakuna lolote kwasababu tayari ujumbe wetu umefika kila mahali!
No gentleman,
iko hivi. kuna wale ambao familia zao zipo ng'ambo na hawana sababu za kwenda kuungana na familia zao ughaibuni kwasabb ya vigezo na masharti. Kwasababu sharti kuu la wao kuishi kule lilikua ni moja tu wachague Mume au Mke ndio pekee anaruhusiwe kuishi kule kwasabb Tz ni salama sana sasa hivi na hakuna kitisho cha amani...

Sasa hii ni Fursa kwao kuipaint Tz kana kwamba hakuna amani ili wapate fursa ya kwenda kuishi uhamishoni, na kwamba maisha yao yapo hatarini humu Tz .🀣

So,
hawa vijanaa hususan wa bavicha na wale wazoefu nadhani wanafahamika, Lazima wajitokeze kutembezewa virungu vya maana na kuanzia hapo wengi wao watadai kwenda kutibiwa ng'ambo na hiyo ndiyo itakua imetoka na wengine watalalamikia maisha yao yapo hatarini 🀣

So,
kujitokeza filled kesho ni Lazima. Ila akili za kuambiwa Changanya Na zako πŸ’
 
Hakuna mtu mwenye akili na nia njema kwa watanzania asiyeunga mkono juhudi za kuondokana na ccm, ni wale wanaolipwa na ccm ndio wanaishabikia. Kama hulipwi na bado unaishabikia ccm wewe ni ndondocha. Nitaanzisha uzi kwa kauli hii.
 
Kula chuma hicho, hata huyu bimkubwa amekuzidi ufikiri
Huyu Mama/Bibi kabeba akili za watanzania wengi, kaongea ukweli halisi ulivyo. Hajamung'unya maneno, hana unafiki moyo wake ni mweupe na jasiri. Mungu amuweke na haya maneno yake yataishi pia. Ahsante Mkuu TAI DUME kwa kuturejeshea hapa tena.
 
Hakuna mtu mwenye akili na nia njema kwa watanzania asiyeunga mkono juhudi za kuondokana na ccm, ni wale wanaolipwa na ccm ndio wanaishabikia. Kama hulipwi na bado unaishabikia ccm wewe ni ndondocha. Nitaanzisha uzi kwa kauli hii.
umehamishia magoli kwenye mambo vyama tena gentleman?🀣

kuanzisha uzi au hoja ni uhuru,haki na uamuzi wako, wala huhitaji ruhusa ya wadau. we zingatia vigezo, masharti ya kimaadili na kimaudhui na kisha tupia bandiko wadau tujadiliane πŸ’
 
Huyu Mama/Bibi kabeba akili za watanzania wengi, kaongea ukweli halisi ulivyo. Hajamung'unya maneno, hana unafiki moyo wake ni mweupe na jasiri. Mungu amuweke na haya maneno yake yataishi pia. Ahsante Mkuu TAI DUME kwa kuturejeshea hapa tena.
Mungu ni mwema sana, na jeshi letu la polisi nchini linaendelea kuimarika na kujizatiti zaidi katika jukumu la kulinda watu, mali na makazi yao bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Wewe utakuwa ulizaliwa na ku.ma la mama yako lilikuwa na harufu kali sana limeoza. Hadi leo unanuka shombo ya ku.ma la mama yako
 
Mungu ni mwema sana, na jeshi letu la polisi nchini linaendelea kuimarika na kujizatiti zaidi katika jukumu la kulinda watu, mali na makazi yao bila mbambamba yoyote πŸ’
Wewe mbaba hata kama uko mtandaoni, usijitoe akili kiasi hiki. Acha kujichetua hivi. Wanaume huwa hawako hivi, wewe ni baba, kaka, uncle. Unalolipanda leo na kulipalilia, nakwambia kizazi chako lazima kije kuvuna. Unajiona wewe uko salama, uchawa but kizazi kitalipia hili. Lione na sura lake pana kama chapati iliyokosa mafuta 😏😏😏
 
Wewe utakuwa ulizaliwa na ku.ma la mama yako lilikuwa na harufu kali sana limeoza. Hadi leo unanuka shombo ya ku.ma la mama yako
Relax gentleman,
Na haya mambo ni kwa Neema na Baraka za Mungu hayahitaji kuporomosha matusi mazito wala mihemko...

ikiwa huna mawazo mapya wala fikra mbadala, kua muungwana tu kaa kimya. huna haja ya makasiriko..sawa ee gentleman? πŸ’
 
Ok pussyman
 
muerevu umebaki na Mihemko na makasiriko tu 🀣

huna tena mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya ukweli wa hoja mahususi mezani, better you relax tu πŸ’

Utulivu kwenye nchi yenye utekaji? Watekaji wanakuja na mitutu wanateka basi kama tupo gaza au goma unasema kuna amani? We unafikiri congo yote wanapigana? Kuna semehu congo hawajuhi hata kama kuna vita ,je utasema congo kuna amani? Unatakiwe upelekwe MIREMBE kwa matibabu.
 
PUNGUANI NA MUUAJI MKUBWA
 
Tangu nimezaliwa sijawahi ona upumbavu na utoto kama huu unaofanywa na jeshi la polisi...Muambieni Samia, polisi siyo mtaji wa siasa...
 
Hakika... Ukiona amani inaanza kulindwa na mapunduki na vyombo vya ulinzi fahamu tu kuwa uvumilivu umeshika kasi!⁹
duniani kote wanaimarisha na kujizatiti kwa silaha nzito na za kisasa kwaajili ya kulinda Amani, utulivu na umoja wa Taifa lolote Imara.

Tanzania tuna Majeshi zaidi ya moja, yote ni bora mno Africa Mashirika.
Na hivi sasa Jeshi la police Tanzania limeimarisha ulinzi nchi nzima. Usalama ni wa uhakika wa kiwango cha juu mno, na badooo...

Na ndio maana Majeshi yetu yakiwa na silaha nzito nzito za kisasa yametapakaa dunia nzima kulinda amani.

kwan gentleman, ulidhani amani inalindwa kwa kuwakenulia wahalifu?πŸ’
 
Tangu nimezaliwa sijawahi ona upumbavu na utoto kama huu unaofanywa na jeshi la polisi...Muambieni Samia, polisi siyo mtaji wa siasa...
hata mimi sijawahi kuona muerevu ana Mihemko kama wewe, badala ya kuwasilisha mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya nzito na ya maana sana mezani.

kweli kabisaa sijawahi kuona makasiriko ya kilegevu kama hayo dah 🀣
 
Yaani hilo bandiko lako ndiyo unaliita fikra nzito? CCM wanawalisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…