Siku Mungu akinijalia kadri ya mapenzi yake nitanunua chuma hiki alicho simama nacho alex jones katika picha hii

Hii ndio chuma ya kufanyia tour ya Dsm to Capetown
1731175016697.png
 
Amini kwenye ndoto zako,Fanya Kazi,muombe mungu,weka akiba utakamilisha hitaji lako mkuu
 
Hiyo ni Ford F550 sema iko customized kua armored na hao jamaa wanajiita Gurkha.

Ni kama $450,000 iyo kazi yao ingawa zipo cheap za $150k used.

All the best.
 
Hakika mkuu.
 
Back
Top Bottom