Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar ndio watateseka muungano ukifa nadhani hata kula yao itakuwa mashakani.Kwanza tuanze kwa kuzungumza kuhusu sheria za mambo ya bahari. Sheria za kumataifa zinasema kuwa kutoka pwani ya nchi hadi nautical miles 12(22Km)kuingia baharini(1NM=1.85km). Ni eneo la bahari la nchi husika. Yaani hapo nchi inamiliki
Hata kama uko sahihi, je Uganda wana eneo kiasi gani cha bahari? Rwanda, Zambia, etc. Ndoa ikishavunjika Kila upande unapoteza na maisha yanaendelea.Kwanza tuanze kwa kuzungumza kuhusu sheria za mambo ya bahari. Sheria za kumataifa zinasema kuwa kutoka pwani ya nchi hadi nautical miles 12(22Km)kuingia baharini(1NM=1.85km). Ni eneo la bahari la nchi husika. Yaani hapo nchi inamiliki kila kitu. Hata meli haziruhusiwi kusafiri bila ruhusa.
Pia sheria inasema kuwa 200NM yaani 370Km kutoka pwani kuingia baharini ni eneo la uchumi la nchi husika. Hilo linamaanisha kila kitu kilichopo chini ya bahari. Samaki, mafuta, gesi nk ni vya nchi husika. Lakini nchi haimiliki uso wa bahari hivyo meli zite zinaruhusiwa kusafiri juu ya bahari.
Kwa mujibu wa sheria hii, hata ukiwa na kisiwa ambacho hakifiki hata eka moja, basi kilomita 370 kuelekea kila upande kutoka kisiwani hapo ni eneo lako la bahari. Hii sheria ndiyo inafanya Ufarsansa kuwa nchi yenye eneo kubwa la bahari kuliko zote duniani sababu inamiliki visiwa vingi sana.
Sasa tuone Tanganyika na Znz zilivyokaa.
Kati ya Tanganyika na Zanzibari mpaka wa bahari utakuwa katikati yao. Yaani watachukuwa visiwa vya magharibi kabisa vya Zanzibari na vya mashariki kabisa vya Tanganyika na kuweka mpaka katikati. So kuanzia Mpaka na Kenya hadi kufika karibu na Mafia, Tanganyika watakuwa na bahari ambayo upana wake haifiki hata km 50. Zanzibar wao upande wa Mashariki bahari yao itaenda kwa kilomita 370, labda wakutane na eneo la bahari la visiwa vingine Sheria hii.
Kitu kingine. Unaona hako kadoti kabluu kati ya Zanzibar na Mafia. Hicho kinaitwa kisiwa cha Latham. Ni mwamba tu usiokaliwa ila una nguvu kuamua eneo la bahari la nchi. Zamani kisiwa hicho kilikuwa chini ya Tanganyika kama ilivyo Mafia. Maana yake mpaka wa bahari wa kusini kati ya Tanganyika na Zanzibar ungekuwa kati ya Unguja na kisiwa hicho. Lakini sasa kisiwa hicho kinamilikiwa na Zanzibar. Maana yake mpaka wa kusini wa bahari unakuwa kati ya Kisiwa hicho na Mafia na kuongeza eneo la bahari la Zanzibar kwa sehemu kubwa.
Pia kuna sehemu ndogo ya bahari ya Tanganyika itaenda Kenya. Sababu mipaka ta bahari inafuata angle ya jinsi mpaka wa nchi kavu unavyoingia baharini. Ndiyo maana huku kusini Msumbiji inaingia kwetu kwenye eneo la bahari sababu mpaka umeelekea Kaskazini Mpaka wetu na Kenya umeelekea kusini. Lakini sababu Pemba ipo pale inafanya mpaka ukifika baharini unyooke kuelekea mashariki. Lakini siku Zanzibar ikiwa nchi kamili, pale juu mpaka itabidi uchorwe upya na sehemu ya Tanganyika itachukuliwa ba Kenya. Labda Tanganyika iwe na visiwa kule Tanga vitakavyolinda eneo lake la bahari.
So kuvunjika kwa Muungano wetu kila mtu atapoteza, lakini Tanganyika itapoteza pakubwa sana.
Tuulinde Muungano kwa nguvu zote, maana nje ya muungano ni vurugu na hasara kwa kila mtu.
Mungu ibariki AfrikaKwanza tuanze kwa kuzungumza kuhusu sheria za mambo ya bahari. Sheria za kumataifa zinasema kuwa kutoka pwani ya nchi hadi nautical miles 12(22Km)kuingia baharini(1NM=1.85km). Ni eneo la bahari la nchi husika. Yaani hapo nchi inamiliki kila kitu. Hata meli haziruhusiwi kusafiri bila ruhusa.
Pia sheria inasema kuwa 200NM yaani 370Km kutoka pwani kuingia baharini ni eneo la uchumi la nchi husika. Hilo linamaanisha kila kitu kilichopo chini ya bahari. Samaki, mafuta, gesi nk ni vya nchi husika. Lakini nchi haimiliki uso wa bahari hivyo meli zite zinaruhusiwa kusafiri juu ya bahari.
Kwa mujibu wa sheria hii, hata ukiwa na kisiwa ambacho hakifiki hata eka moja, basi kilomita 370 kuelekea kila upande kutoka kisiwani hapo ni eneo lako la bahari. Hii sheria ndiyo inafanya Ufarsansa kuwa nchi yenye eneo kubwa la bahari kuliko zote duniani sababu inamiliki visiwa vingi sana.
Sasa tuone Tanganyika na Znz zilivyokaa.
Kati ya Tanganyika na Zanzibari mpaka wa bahari utakuwa katikati yao. Yaani watachukuwa visiwa vya magharibi kabisa vya Zanzibari na vya mashariki kabisa vya Tanganyika na kuweka mpaka katikati. So kuanzia Mpaka na Kenya hadi kufika karibu na Mafia, Tanganyika watakuwa na bahari ambayo upana wake haifiki hata km 50. Zanzibar wao upande wa Mashariki bahari yao itaenda kwa kilomita 370, labda wakutane na eneo la bahari la visiwa vingine Sheria hii.
Kitu kingine. Unaona hako kadoti kabluu kati ya Zanzibar na Mafia. Hicho kinaitwa kisiwa cha Latham. Ni mwamba tu usiokaliwa ila una nguvu kuamua eneo la bahari la nchi. Zamani kisiwa hicho kilikuwa chini ya Tanganyika kama ilivyo Mafia. Maana yake mpaka wa bahari wa kusini kati ya Tanganyika na Zanzibar ungekuwa kati ya Unguja na kisiwa hicho. Lakini sasa kisiwa hicho kinamilikiwa na Zanzibar. Maana yake mpaka wa kusini wa bahari unakuwa kati ya Kisiwa hicho na Mafia na kuongeza eneo la bahari la Zanzibar kwa sehemu kubwa.
Pia kuna sehemu ndogo ya bahari ya Tanganyika itaenda Kenya. Sababu mipaka ta bahari inafuata angle ya jinsi mpaka wa nchi kavu unavyoingia baharini. Ndiyo maana huku kusini Msumbiji inaingia kwetu kwenye eneo la bahari sababu mpaka umeelekea Kaskazini Mpaka wetu na Kenya umeelekea kusini. Lakini sababu Pemba ipo pale inafanya mpaka ukifika baharini unyooke kuelekea mashariki. Lakini siku Zanzibar ikiwa nchi kamili, pale juu mpaka itabidi uchorwe upya na sehemu ya Tanganyika itachukuliwa ba Kenya. Labda Tanganyika iwe na visiwa kule Tanga vitakavyolinda eneo lake la bahari.
So kuvunjika kwa Muungano wetu kila mtu atapoteza, lakini Tanganyika itapoteza pakubwa sana.
Tuulinde Muungano kwa nguvu zote, maana nje ya muungano ni vurugu na hasara kwa kila mtu.
Msikilize Makamu wa Rais Zanzibar, lazima Zanzibar irudi.
Dakika ya 17 hadi 30
neno hili Zamani kilikuwa kinamilikiwa na Tanganyika si sahihi.Kitu kingine. Unaona hako kadoti kabluu kati ya Zanzibar na Mafia. Hicho kinaitwa kisiwa cha Latham. Ni mwamba tu usiokaliwa ila una nguvu kuamua eneo la bahari la nchi. Zamani kisiwa hicho kilikuwa chini ya Tanganyika kama ilivyo Mafia. Maana yake mpaka wa bahari wa kusini kati ya Tanganyika na Zanzibar ungekuwa kati ya Unguja na kisiwa hicho. Lakini sasa kisiwa hicho kinamilikiwa na Zanzibar.
Mjerumani alinunua Mafia kutoka kwa Sultan wa Zanzibar. Pamoja na pwani ya Tanganyika na visiwa vyake, pamoja na hicho kisiwa cha Latham. Ndiyo maana utaona kipo karibu na pwani ya Tanganyika kuliko kisiwa cha Unguja.neno hili Zamani kilikuwa kinamilikiwa na Tanganyika si sahihi.
Nchi ya Zanzibar ilikuwa na utawala rasmi kwa miaka 1000 nyuma kabla ya Tanganyika. Wakati Wakoloni wa Kizungu akina Vasco Da Gama wankuja waliikuta Zanzibar ikiwa inaikalia Tanganyi kwa jina la Zenji Epire.
Wajerumani na Waingereza waliikuta Zanzibar ikiwa na Ukanda wote wa Afrika mashariki kuanzia Somalia hadi Msumbiji. 200 inland.
Baadae zanzibar Ikapewa Ukanda wa Pwani kwa Maili 20 in Land.
Halafu Wakati wa Muingereza zanzibar ikabaki na Visiwa Vikubwa viwili, Pwani ya Mombasa Kenaya na Kisiwa cha Mafia kilikuwemo.
Ikatolewa dar es salaam na Tanga na Mtwara tu.
Hadi Tunapeana Uhuru 1961 kwa Tanganyika na 1963 kwa zanzibar Mipaka iliyotambulka kwa Zanzbar Ni kuanzia Lantham island Hadi Pemba . Pamoja na Pwani yake.
Kisiwa cha Latham kipo karibu na Kisiju ya Tanganyika. na hapo ndio mwanzo wa Zanzibar.
Visiwa vya Bongoyo pale Dar Havimo.
Kuhusu Utawala ki inchi Zanzibar ndiyo ilikuwa Organized state kabla ya Tanganyika , Maka hiya ya Karne ya 15 tawala za tnaganyika zilikuwa za Kchifu tuu na Kitemi wakati Zanzibar tukiwa na Mfalme Sayid Said mwanzoni mwakarne ya 17
UWE NA NYARAKA ZA KUTHIBITISHA KUWA LANTHAM NI YA TANGANYIKAMjerumani alinunua Mafia kutoka kwa Sultan wa Zanzibar. Pamoja na pwani ya Tanganyika na visiwa vyake, pamoja na hicho kisiwa cha Latham. Ndiyo maana utaona kipo karibu na pwani ya Tanganyika kuliko kisiwa cha Unguja.
Mikataba ipo. Unafikiri kisiwa Kilikuwa chini ya JMT kwa bahati mbaya?UWE NA NYARAKA ZA KUTHIBITISHA KUWA LANTHAM NI YA TANGANYIKA
Kama huna, bado inakuwa ni mali ya zanzibar
Ndiyo Congo wana eneo la bahariMimi toka utoto nimeuliza hata Walimu wangu shuleni kote nilikopita, kuwa, "Kwanini Tanganyika iliungana na Zanzibar?"
nikajibiwa eti ni kwa sababu za kiusalama.
Sijawah kulielewa hilo jibu, hata humu JF bado sijaona sababu za msingi za jambo hilo.
Nafkiri ni uwoga na kukataa kubeba majukumu, kwamba ili uwe salama inahitaji uuze uhuru wako kwa mtu unayedhani anaweza kukudhuru?
Sasa mleta mada hicho ulicholeta hapa kabla sijakujibu, hv Rwanda, Congo wana maeneo ya bahari?
Noma na iwe nomaImpossible Tanganyika kujutia kujitoa muungano.
Sanasana ni mapanga shaa shaa kujirudia Zanzibar.