Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

Kikubwa ni kuonesha ukomavu na kukaa mbali na simu ya mkeo vinginevyo utateseka sana mkuu.

Ukioa mwanamke mrembo sana jua umeolea kijiji ni swala la muda tu na nakuhakikishia kuwa hata ukimsanua kuwa umeona kuna boya anamendea mzigo basi tambua tu hawatoacha kuwasiliana ila ataongeza umakini ili usije ukaona chatting zao kwa either kuzifuta instantly au kutumia simu ya shoga yake.
 
Kwani wewe uko je! Sembuse wenye fedha,majumba,magari,misosi,nyadhifa,viongozi wa dini wamechapiwa na wanachapiwa wewe hayajakukuta yatapokukuta uje Tena hapa jukwani utuambie.
 
Half american Natafuta Ajira msaidieni huyu jamaa hata ushauri, maana taa nyekundu imeshawaka.
 
Pole .ndio haatua za kutoka kwenye utoto kuja utu uzima. Acha kumfuatilia mkeo. Ni mtu mzima mwenzio huyo cha msingi zingatia masuala ya msingi pekee kwake
 
Muhuni anataka kupasha kiporo ilikuwa chakula chake
 
Wewe utakufa siku si nyingi endelea na mapressure yako alafu wahuni wajipigie kiulani
 
NI huzuni kwakweli..!! Hivi hujui kwamba mwanamke kutongozwa ataachwa siku akifa?? Halafu hata akifa, inategemea na akili za mhudumu wa mochware. Anaweza akanyanduliwa huko huko mochware akiwa amekufa. Usicheze na akili za mtu aliyeamua kukamilisha jambo lake.
 
Pole sana kijana.
Inabidi ujue kua mkeo ni binadamu pia, ana matamanio , ana hisia na anaweza kukosea vilevile.

Siku mkeo akijua huo udhaifu atakutesa sana, ficha sana asijue kua we ni dhaifu juu yake.
 
Kwenye simu ya mkeo unatafuta nini boss?

Utakufa kwa presha mkuu kila unavyozidi kumfuatilia mwanamke ndo unapunguza umri wa kuishi ....
 
tulia bro,utajiumiza bute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…