Siku nikifa msiniombee kwenda peponi mimi ni wa motoni, uzinzi utaniua

Kumbe masister wa kikatoliki wanachakatwa?
Ulitumia mbinu gani?
 
Msijisumbue kuniombea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mkuu umekata tamaa acha watu tukuombee bwana! Mfano mi ombi langu la leo lilikuwa linahusu watu wote wanaotamani kuacha dhambi fulani iliyowang'ang'ania na wanashindwa kuiacha ikiwemo na mimi.
 
Msijisumbue kuniombea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mkuu umekata tamaa acha watu tukuombee bwana! Mfano mi ombi langu la leo lilikuwa kinahusu watu wote wanaotamani kuacha dhambi fulani iliyowang'ang'ania na wanashindwa kuiacha ikiwemo na mimi.
Sasa naachaje uzinzi mimi
 
Ningeshakufa labda,katika hao 500 kuna wengine wameninyantua sana nilipoanguka iwe kiuchumi au kisakolojia,sioni laana hapo,naeenyewe wanapenda kutembezewa rungu
Kwa hiyo hao 500+ bado upo nao kwenye mnyanduano wa mnyororo?🀣

Hasa hao waliokunyanyua kisha ukasepa jua wamwkukalia utosini
 
Kwanini watu mliowahi kwenda Marekani huwa mna mambo ya hovyo sana? Hata Lemutuz huwa naona kila mara akipost kwamba yuko na Bebez na hufikia hatua kupost yuko nae kitandani... labda watu wengine waliowahi kuishi Marekani wanaweza wakafafanua zaidi kwanini hii hali inakuwa hivi... mbona wanaoenda India hata wakae miaka 30 wakirudi wako vilevile hata lafudhi haijabadilika?
 
Taifa la kishetani lile, na linawaaminisha Wana freedom ya kufanya wakipendacho.
 
Umeiona njia yako
 
Taifa la kishetani lile, na linawaaminisha Wana freedom ya kufanya wakipendacho.
Tuna jamaa yetu mwanzoni mwa miaka ya 90 alikuwa akija likizo kutoka Marekani analala Hotel Golden Rose Arusha kwa muda wote atakaokuwa nchini. Enzi hizo Golden Rose ni ya moto balaa... wakati anarudi nchini hakuja na kitu na akaishia kuishi maisha dhalili mno. Akawa mlevi aliyeshindikana. Kitu pekee kilikuwa kinamtofautisha ni ile English yake iliyonyooka.
 
πŸ˜„πŸ˜„ Golden rose kwa mama Maeda,palikua Moto sana enzi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…