Siku nikifa msiniombee kwenda peponi mimi ni wa motoni, uzinzi utaniua

Unaujua wimbo wa Cassanova, ukienda Ulaya na America Cassanova ni jamaa mmoja enzi zake alisifika kwa uzinzi mpaka wazungu wakaona eti amevunja rekodi. Kilichonishangaza ni kuwa huyo bwana hakuwahi kufikisha wanawake 130.

Mimi at this age nadhani ni 500+,
Wazungu wanatuonaje?

Ndani ya wiki mbili nimechakata sister wa kikatoliki pamoja na binti mtoto wa shehe akiwa kwenye hijab na akiwa amefunga Ramadhani, kumbuka huu ni mwezi Ramadhani na ni kwaresma.

Siendi mbinguni hata mkijisumbua kuomba
Kumbe masister wa kikatoliki wanachakatwa?
Ulitumia mbinu gani?
 
Msijisumbue kuniombea 😂😂😂😂

mkuu umekata tamaa acha watu tukuombee bwana! Mfano mi ombi langu la leo lilikuwa kinahusu watu wote wanaotamani kuacha dhambi fulani iliyowang'ang'ania na wanashindwa kuiacha ikiwemo na mimi.
Sasa naachaje uzinzi mimi
 
Ningeshakufa labda,katika hao 500 kuna wengine wameninyantua sana nilipoanguka iwe kiuchumi au kisakolojia,sioni laana hapo,naeenyewe wanapenda kutembezewa rungu
Kwa hiyo hao 500+ bado upo nao kwenye mnyanduano wa mnyororo?🤣

Hasa hao waliokunyanyua kisha ukasepa jua wamwkukalia utosini
 
Unaujua wimbo wa Cassanova, ukienda Ulaya na America Cassanova ni jamaa mmoja enzi zake alisifika kwa uzinzi mpaka wazungu wakaona eti amevunja rekodi. Kilichonishangaza ni kuwa huyo bwana hakuwahi kufikisha wanawake 130.

Mimi at this age nadhani ni 500+,
Wazungu wanatuonaje?

Ndani ya wiki mbili nimechakata sister wa kikatoliki pamoja na binti mtoto wa shehe akiwa kwenye hijab na akiwa amefunga Ramadhani, kumbuka huu ni mwezi Ramadhani na ni kwaresma.

Siendi mbinguni hata mkijisumbua kuomba
Kwanini watu mliowahi kwenda Marekani huwa mna mambo ya hovyo sana? Hata Lemutuz huwa naona kila mara akipost kwamba yuko na Bebez na hufikia hatua kupost yuko nae kitandani... labda watu wengine waliowahi kuishi Marekani wanaweza wakafafanua zaidi kwanini hii hali inakuwa hivi... mbona wanaoenda India hata wakae miaka 30 wakirudi wako vilevile hata lafudhi haijabadilika?
 
Kwanini watu mliowahi kwenda Marekani huwa mna mambo ya hovyo sana? Hata Lemutuz huwa naona kila mara akipost kwamba yuko na Bebez na hufikia hatua kupost yuko nae kitandani... labda watu wengine waliowahi kuishi Marekani wanaweza wakafafanua zaidi kwanini hii hali inakuwa hivi... mbona wanaoenda India hata wake miaka 30 wakirudi wako vilevile hata lafudhi haijabadilika?
Taifa la kishetani lile, na linawaaminisha Wana freedom ya kufanya wakipendacho.
 
Unaujua wimbo wa Cassanova, ukienda Ulaya na America Cassanova ni jamaa mmoja enzi zake alisifika kwa uzinzi mpaka wazungu wakaona eti amevunja rekodi. Kilichonishangaza ni kuwa huyo bwana hakuwahi kufikisha wanawake 130.

Mimi at this age nadhani ni 500+,
Wazungu wanatuonaje?

Ndani ya wiki mbili nimechakata sister wa kikatoliki pamoja na binti mtoto wa shehe akiwa kwenye hijab na akiwa amefunga Ramadhani, kumbuka huu ni mwezi Ramadhani na ni kwaresma.

Siendi mbinguni hata mkijisumbua kuomba
Umeiona njia yako
 
Taifa la kishetani lile, na linawaaminisha Wana freedom ya kufanya wakipendacho.
Tuna jamaa yetu mwanzoni mwa miaka ya 90 alikuwa akija likizo kutoka Marekani analala Hotel Golden Rose Arusha kwa muda wote atakaokuwa nchini. Enzi hizo Golden Rose ni ya moto balaa... wakati anarudi nchini hakuja na kitu na akaishia kuishi maisha dhalili mno. Akawa mlevi aliyeshindikana. Kitu pekee kilikuwa kinamtofautisha ni ile English yake iliyonyooka.
 
😄😄 Golden rose kwa mama Maeda,palikua Moto sana enzi hizo.
 
Back
Top Bottom