Siku nikifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania; Mafisadi na familia zao zinazoneemeka kwa ufisadi, wataula wa chuya

Na wee ukingia lazima ukwibeee tu

Ujinufaishe wewe na uko wako

Ova
Uzalendo ni kuitanguliza nchi na wananchi wake kwanza.
Nikiwa Rais nitakuwa kama Thomas Sankara wa Burkina Fasso, au Muammar Gaddafi wa Libya.
 
That's why I pray to God if it pleases Him.
TO GOD NOTHING IS IMPOSSIBLE.
Amen.
Mungu Yupi Unaemuomba Ambaye Anaruhusu Kuwaumiza Wengine.
Acha Akili Za Kifala.
 
Wewe ni mnafiki.
Unamsahau vipi Samia kwenye orodha ya viongozi waliolitumikia Taifa hili?.
 
Endelea tu, utakapopasuka mnduku hakutakuwa na wa kukusaidia
Anaguswa Bill Gate we' kajamba nani mzalendo kutoka Tanganyika ni nani mpaka usiguswe? Hakikisha huingii kwenye 18 za watu. Nikiwa Rais watu wa aina yako nitawapapasa sana. Na hakuna kitu utafanya
 
Mie naapa kuna mafisadi papa ningewanyongea pale mnazi mmoja mchana saa 6 hadharani ili kuwa fundisha Tz,
Tena hapa ningeanza na 'seniors officers" wa serikalini kwa mikataba mobovu inayolighamu Taifa!
 
Mie naapa kuna mafisadi papa ningewanyongea pale mnazi mmoja mchana saa 6 hadharani ili kuwa fundisha Tz,
Tena hapa ningeanza na 'seniors officers" wa serikalini kwa mikataba mobovu inayolighamu Taifa!
Si ulitaje tu fisadi la msoga, au unaliogopa?
 
Na wenzako huwa wanasema hivyo hivyo lakini pale wanapoupata wanasahau kila kitu.
Ndugu zako na rafiki zako huwa ndiyo washauri wako na wapambe wako wa kufaidika. Wengine Mungu akitupa uhai tutaendelea kulima kwa meno.

Tumeyaona hayo kwenye mifumo mingi tu ya kiafrika (nitajie mmoja ambao hauna tabia hiyo kuanzia afrika magharibi, mashariki na kusini).

Kwa hivyo omba pole pole tu usipige kelele ya ukombozi, siku ukifanikiwa utayasahau yote uliyoahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…