Siku nikiwa na mwanamke mwingine ndio utajua tabia yangu, mke hakuongeza neno!

royal tourtz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
255
Reaction score
326
Iko hivi nina rafiki yangu mmoja ambaye anaendesha magari daladala za hiace isela to magu. sasa kwa uzuri aliniambia mapema kuwa kuna dada kakosea namba kutoka segerema na anamchatisha sana hivyo hadi anaenda kupaki gari usiku bado mawasiliano yalikuwa ni moto sana.

Jamaa alipofika kwake alijua mkewe hatoshika simu na jumbe zote alifuta.. mda wa chakula ujumbe ukaingia.. jamaa akasoma na akafuta, hakujibu. tena ujumbe ukaingia unasomeka "WHAAHHH" mkewe akauona na akaomba kuusoma jamaa akampa simu. mwanamke akaanza kufatilia jumbe za nyuma hakukuta ujumbe wowote.

TATIZO LINAANZIA HAPA.

Shida sio kukosa jumbe za nyuma ila shida ni mwanaume kufunta jumbe za nyuma. mara nyingi kama sio mara zote simu hiyo mwanamke huwa ndio anafuta ujumbe ila akagundua kuwa kipindi hicho jumbe nyngi huwa anafuta mwenyewe hiyo ndio kesi kubwa hapo.. kwa nini afute jumbe hali yeye mwanamke ndio huwa anafuta??

Siku moja nimeenda kwa jamaa yangu uchangamfu wa shemeji ulikuwa sio ule niliouzoea... baada ya mda akaniuliza ndugu yako ana mwanamke mwingine na hauniambii kwa nini? duh ndio nikakumba hiyo story ya kukosea namba.

Mimi nikasema sijui chochote ingawa najua jamaa anai kibao tu.. badae shemu akawa wazi akaniambia kila kitu. kwa vile niliona haina madhara nikamwambia hiyo ishu naijua kila kitu na ni kweli alikuwa kakosea namba..lakini shem akasema jamaa kabadilika sana maana siku hizi anafuta jumbe mwenyewe hali mimi ndio nilikuwa nafuta na mambo mengi.

Baadaye nikakutana na jamaa nikampa malalamiko na mabadiliko yanayolalamikiwa... jamaa akasema amenuniwa kama wiki hivi ila alipoona mambo mangumu akawambia we nuna tu kwa kosa la kufikili ILA SIKU NIKIPATA MWANAMKE WA NJE NDIO UTAJUA TABIA YANGU. jamaa akalala. jamaa anasema toka siku hiyo mwanamke hajarudia tena kumfatilia na amani
 
Mwanaume ni sawa na dereva bodaboda,hawezi pita njia moja kila siku
 
Mwanamke mmoja ni mama mzazi tuu lkn mke hawezi kua mmoja atakaebisha na abishe lkn ukweli unajulikana
 
wasukuma tuna jiji bwana haoa Tanzania... jiji la Mwanza
 
Back
Top Bottom