Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Naomba serikali ikuchukulie hatua kwa kuchelewesha miendelezo
 
Naomba serikali ikuchukulie hatua kwa kuchelewesha miendelezo
SEHEMU YA 06
******************************
SASA INAENDELEA#
ilipoishia ni pale fatma aliponirushia shs laki 2 na baadae akaja kwangu akiniambia wiki ijayo inabidi niwe nakaa nae yaani mimi binadamu niishi na jini nyumba moja kama mume na mke,

Pia alikuwa akiniambia ndugu zake wanatamani sana kuniona na anasema anataka anipeleke kwao yaani baharini kwao anadai ni baharini sasa sijui ni bahari gani hiyo tena?

#ENDELEA#
basi yote aliyokuwa ananiambia mimi nilikuwa tu nakubali yaani akili yangu yote alikuwa ameiteka basi siku hiyo niliweza kuenjoy mahaba moto moto na fatma tulikuwa sasa tushazoeana ndugu msomaji yaani fatma pamoja ya kuwa ni jini ila nilishangaa simuogopi namuona tu mtu wa kawaids tulikuwa tunataniana na hasa kule kitandani tulikuwa tunapeana mahaba mazito mara anirukie mara nimshike tako yaani full vurugu za kimahaba kama wapenzi,

Basi siku ile ikapita na masiku yakapita nikiwa nipo na fatma alikuwa anakuja kwangu na kuondoka atimae siku moja baada kama ya siku saba kupita nakumbuka ilikuwa ni usiku nipo home ghafla fatuma akaniambia simu na kuniambia kuwa anakuja mda huo nikamwambia sawq ilikuwa ni mida ya saa tatu usiku sasa nipo home hapo nimetulia tu naangalia tv ndugu msomaji kiukweli fatma alikuwa akinipa hela hadi nikafanikiwa kunununua vitu vya ndani vingi ikiwemo tv na furniture kibao sasa nikiwa naangalia tv ghafla nikashangaa namuona fatma huyu hapa mbele yangu katokea ghafla nusu nikimbie akasema usiogope,

Ndugu msomaji fatma uwa anakuja kwangu kwa njia ya kibinadamu yaani anagonga mlango kama kawaida ila siku hiyo alikuja kwa utofauti sana kiasi cha kunitisha akaniambia usiogpe mume leo nilitaka nikusurprise tu akaja akaa pale kwenye sofa akaniambia mume wangu leo nina habari nzuri kwako nikamuuliza habari gani akasema ninq mimba yako ndugu msomaji kauli yake ya kuniambia ana mimba tayari ilinitisha sana na kunipa majonzi kuwa sasa nimezaa na jini na mimi mwanangu atakuwa jini,

Basi akaniambia sasa leo ndio siku ya mimi ha ww kwenda nyumbani kwetu ukapaone nikamjibu sawa akasema itakapofika saa kumi kabla ya hadhana ile ya alfajiri haijalia inabidi tuwe tumeondoka sawa nikamjibu basi alipika pale tukala anakaenda kuoga na mimi pia tukawa tumeingia kulala siku leo fatma alikuwa ana furaha mno alikuwa akinikumbatia pale kitanda tukawa tumesex hadi usingizi ulipotupata nikaja kushtushwa na sauti inaniita mume wangu mume wangu mume wangu amkaa amkaa sauti ilikuwa ikiniamsha kwa msisitizo ikabidi nifungue macho ndugu msomaji sikuamini nilipojikuta sipo pale nilipolala muda ule na fetty nilikuwa nipo sehemu tofaut nisiyoijua na nilikuwa naona watu watano wamenisimamia pale wananiangalia walikuwa ni watu wanaotisha sana walikuwa wamevaa nguo nyeupe wote nilipiga kelele sana ghafla nikasikia sauti ikiniambia karibuuuu..

Wakuu itaendelea leo jioni

MUENDELEZO Soma Siku niliyokutana na jini kwenye daladala
 
Hakuna haja ya kuendelea, fanya mishe zako tu.
 
Mkuu nanukuu maneno yako kutoka episode ya 4, " Fatma akanisogelea na kuniambia kuwa rasmi mimi na yeye tumeshafunga ndoa Toka siku ya kwanza tulipokutana kimwili na ni ngumu mimi kumkimbia na akanambia tayari Nina mimba yako....." Episode ya 6. unatuambia kuwa shemeji Fatma alikuja usiku akakuambia ana mimba yako na wewe ukashituka baada kusikia iyo taarifa ya ujauzito,. Swali langu Kwanini unadai ulishtuka kusikia taarifa ya mimba wakati shemeji jini alishakwambia ishu ya mimba siku ulipokutwa bar
 
Swali zuri mkuu sehemu ya saba itakujibu ilo swali lako utaelewa mkuu leo usiku natuma sehemu ya saba
 
BABA FETY.. mzushi sana usitake tuamini kama wewe kweli mzushi.. angusha story hiyo tunakukubali kinoma na unajua tunapenda story.. ilete hiyo baba FETY
Kweli mkuu sema sio kama mimi mzushi ila muda nakosa mkuu wife kajifungua ndio shida yaani ninapopata mda kama hivi ndio naingia jf ila nitajitahidi angalau tuimalize stori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…