Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Duh
 
Chai hii, uko kwenye daladala mida ya saa moja usiku, umeenda ukalala mpaka saa mbili na nusu wakati una-apointment na fundi mwenzako saa 12 jioni.

Timelines haziendani na story.
 
Jioni namalizia ila hii stori ni ndefu maana kwenye hii stori yaliyonitokea kuna mambo mengi sana itachukua wiki kuimaliza ila jioni nitatuma muendelezo je fatmah alikuja kwangu na ikawaje baada ya kuja
Mkuu wasikukatishe tamaa hawa wapuuzi wala hawakutafutii hela ya kula. We piga kazi kwanza ukiwa na nafasi endeleza stori,huenda wao hawana kazi wanashinda jf tu wanalazimisha umalize kisa kirefu kwa mara moja
 
Pamoja sana mkuu
 
Mkuu tafuta mtego Wa panya mkuu wanakukosesha uhondo Wa ndoto nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…