Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhMoja ya kitu ambacho sitaweza kukisahau katika maisha yangu ni siku niliyokutana na jini kwenye dala dala nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019 wakati nipo chanika nilikiwa natoka kariakoo narudi ghetto ilikuwa ni mida ya saa 1 usiku sasa nikiwa kwenye gari akaja mdada mmoja akapanda kwenye dala dala niliyokuwa alikuwa ni mzuri amevaa kiostadhat sasa kutokana na ufinyu wa siti hakupata nafasi ya kukaa sasa sijui ni nini kilinipata uwa sina
Chai hii, uko kwenye daladala mida ya saa moja usiku, umeenda ukalala mpaka saa mbili na nusu wakati una-apointment na fundi mwenzako saa 12 jioni.Moja ya kitu ambacho sitaweza kukisahau katika maisha yangu ni siku niliyokutana na jini kwenye dala dala nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019 wakati nipo chanika nilikiwa natoka kariakoo narudi ghetto ilikuwa ni mida ya saa 1 usiku sasa nikiwa kwenye gari akaja mdada mmoja akapanda kwenye dala dala niliyokuwa alikuwa ni mzuri amevaa kiostadhat sasa kutokana na ufinyu wa siti hakupata nafasi ya kukaa sasa sijui ni nini kilinipata uwa sina desturi ya kumuachia mtu siti hata awe mzee hau mgonjwa vipi maana mimi ndio utaratibu niliojiwekea naheshimu sana nauli yangu.
Wewe ndiye huendani na stori haja sema saa mbili na nusu asubuhi, rudia kusoma au ukae kimya.Chai hii, uko kwenye daladala mida ya saa moja usiku, umeenda ukalala mpaka saa mbili na nusu wakati una-apointment na fundi mwenzako saa 12 jioni.
Timelines haziendani na story.
Mkuu wasikukatishe tamaa hawa wapuuzi wala hawakutafutii hela ya kula. We piga kazi kwanza ukiwa na nafasi endeleza stori,huenda wao hawana kazi wanashinda jf tu wanalazimisha umalize kisa kirefu kwa mara mojaJioni namalizia ila hii stori ni ndefu maana kwenye hii stori yaliyonitokea kuna mambo mengi sana itachukua wiki kuimaliza ila jioni nitatuma muendelezo je fatmah alikuja kwangu na ikawaje baada ya kuja
Pamoja sana mkuuMkuu wasikukatishe tamaa hawa wapuuzi wala hawakutafutii hela ya kula. We piga kazi kwanza ukiwa na nafasi endeleza stori,huenda wao hawana kazi wanashinda jf tu wanalazimisha umalize kisa kirefu kwa mara moja
Sikupiga mkuu
Kaka umempa jibu konk sana mkuu shukrani[emoji122][emoji122]Wewe ndiye huendani na stori haja sema saa mbili na nusu asubuhi, rudia kusoma au ukae kimya.
Samahani mkuu majukumu kidogo ila leo naendeleza muendelezoSema mkuu upo slow kuleta mwendelezo.
Muendelezo leo mapemaNgoja nisakislaibu maana.
Kama uko busy uwe unatoa muendelezo wa kutosha mkuu. Ni maoni tu.Samahani mkuu majukumu kidogo ila leo naendeleza muendelezo
Usisahau mkuuMuendelezo leo mapema
Mkuu tafuta mtego Wa panya mkuu wanakukosesha uhondo Wa ndoto nzuriMoja ya kitu ambacho sitaweza kukisahau katika maisha yangu ni siku niliyokutana na jini kwenye dala dala nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019 wakati nipo chanika nilikiwa natoka kariakoo narudi ghetto ilikuwa ni mida ya saa 1 usiku sasa nikiwa kwenye gari akaja mdada mmoja akapanda kwenye dala