Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Moja ya kitu ambacho sitaweza kukisahau katika maisha yangu ni siku niliyokutana na jini kwenye dala dala nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019 wakati nipo chanika nilikiwa natoka kariakoo narudi ghetto ilikuwa ni mida ya saa 1 usiku sasa nikiwa kwenye gari akaja mdada mmoja akapanda kwenye dala dala niliyokuwa alikuwa ni mzuri amevaa kiostadhat sasa kutokana na ufinyu wa siti hakupata nafasi ya kukaa sasa sijui ni nini kilinipata uwa sina desturi ya kumuachia mtu siti hata awe mzee hau mgonjwa vipi maana mimi ndio utaratibu niliojiwekea naheshimu sana nauli yangu.
Sio kweli mkuu story ya kutunga hapa umetupiga mpepe mtupu
 
Back
Top Bottom