Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

SEHEMU YA 03
****************
SIKU ile ilikuwa siku nzuri sana kulionja penzi la Fatumah ni mwanamke mzuri sana kuwahi kumuona katika hii dunia ya watoto wa Adam na Hawa[emoji18]

Basi tuliongea mengi sana na Fatmah siku hiyo alinionyeshea mahaba mazito hadi nikawa najisimemea sasa mke si ndio huyu nimepata kumbe sikujua kuwa nilikuwa nimepatikana[emoji29]
Bongo movie njoo huku , hii kitu itawafaa sana
 
SEHEMU YA 03
****************
SIKU ile ilikuwa siku nzuri sana kulionja penzi la Fatumah ni mwanamke mzuri sana kuwahi kumuona katika hii dunia ya watoto wa Adam na Hawa[emoji18]

Basi tuliongea mengi sana na Fatmah siku hiyo alinionyeshea mahaba mazito hadi nikawa najisimemea sasa mke si ndio huyu nimepata kumbe sikujua
Safi sana mkuu kwa muendelezo maana tulipata wasiwasi kama ndo umetuchinjia baharini ama niaje
 
Back
Top Bottom