Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Ameuliza swali zuri ila ni kwamba hajui sehemu ya 5 nn kitatokea na niongeze yale mazingira yote pale yalikuwa kiini macho ni stori ndefu ataelewa tu

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Ndiyo nimeweka kambi hapa, maana michezo ya majini ni mibaya sana anaweza kukupeleka sehemu mfano dukani tena na mtaa ukaufahamu ila baadae ukirudi mwenyewe huwezi kuliona hilo duka
 
Nilichomlaumu FATMA yaani kukufanya ukakosa raha kwa laki-4 yake tu.. ila wanawake ndio walivyo.. unaweza ukampa hata mil-4 ila yeye akikupa hata buku tatu atasimulia vitongoji vyote hatokumbuka ile mil-4 .. any way baba FETY.. andaa hizo 5-28 sisi tupo hapa tuangushie na utuambie rasm hapa epsod itakuwa inatoka baada ya siku ngapi? Au masaa mangapi? Maana ni nyingi sana usiwe unazichelewesha zitaisha mwakani
 
Yaani acha tu mkuu yaliyonipata ni makubwa kuanzia leo nitakuwa natoa vipindi viwili kila siku leo nashusha kipindi kingine saa tatu halafu saa tano nashusha kingine mkuu

Back
Top Bottom