GE2025 Siku nne zijazo kuna viongozi wawili watatoa kauli ngumu sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kiongozi mmoja ni wadini. Yule mwingine wa kisiasa. Wapo mbioni kutoa kauli ngumu ya kuunga mkono maandamano. Kiongozi huyu atajitokeza yeye na uongozi wake. Akiwashawishi waumini wake na madhehebu ya kikristo kuyaunga mkono maandamano.

Kwa sasa yupo mafichoni hukohuko Dar pembezoni mwa bahari. Huyo kiongozi wa kisiasa yeye yupo CCM na Kwa cheo chake ni Waziri wa wizara nyeti. Mipango yenu haitafanikiwa kwani kufikia kesho mtakuwa mpo nguvuni. Na bado

Mwendo wa Ubabe ubabe tu.

Si mtangaze tu kuwa NCHI NI YA KIDICTATOR tujue moja.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kiongozi mmoja ni wadini. Yule mwingine wa kisiasa. Wapo mbioni kutoa kauli ngumu ya kuunga mkono maandamano. Kiongozi huyu atajitokeza yeye na uongozi wake. Akiwashawishi waumini wake na madhehebu ya kikristo kuyaunga mkono maandamano.

Kwa sasa yupo mafichoni hukohuko Dar pembezoni mwa bahari. Huyo kiongozi wa kisiasa yeye yupo CCM na Kwa cheo chake ni Waziri wa wizara nyeti. Mipango yenu haitafanikiwa kwani kufikia kesho mtakuwa mpo nguvuni. Na bado
Una wivu nao? Unataka kuwa wao?
 
Hatakua wa kwanza wakatoliki wameshahamasishwa ila hamna atakaetoka
 
Umeandika huku unatetemeka! Bila shaka umeingiwa na hofu kubwa iwapo kutatokea maandamano kama yale ya Madagascar, maisha yataendaje bila ya uchawa. Maana mabosi wako watalazimika kukimbia nchi ili kunusuru maisha yao.
 
Back
Top Bottom