Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Kujikuta Mtu wa Mfumo .
Kanjanja tu wewe.
Kanjanja tu wewe.
Muhimu nchi ibaki na amani
Kwa ninyi wavuruga amani nchi itakuwa ya kidikteta mpaka mshike adabu
Na kazi bado hajapataKujikuta Mtu wa Mfumo .
Kanjanja tu wewe.
Kujikuta Mtu wa Mfumo .
Kanjanja tu wewe.
Tarehe 29 tutakupiga katereroNawasubiri kwa hamu zote
Hivi mmerogwa. AMANI ni nini?Muhimu nchi ibaki na amani
Na BadoNamuona kwenye besen langu hapa namuona gwajima na waziri bashe
Bila ya kuwa na haki, hiyo amani muendelee kuilunda kwa mitutu hivyohivyo ila among the potential targets hata ipite miaka mingani ni Ridhiwani na Abdul. Wamekabidhiwa kuendesha makundi ya wauaji na wazazi wao they gonna pay for it.Muhimu nchi ibaki na amani
Kama Pole pole alivyokuwa anatoa mikwara sifichi hata mimi nikaogopa, huyu yupo sayari nyingine au ana jeshi yaani kuna watu wana mikwara kumbe maskini anajifungia store hata milinzi mmasai tu hana. Watu wanadhani hawa CCM ni chama tu huku uraiani, hawa wana mizizi ya makada kote kwenye vyombo vya ulinzi. Ingelikuwa kuchukua nchi ni rahisi tu hao wa Kenya fujo zote wametulizwa yule Ruto bado yupo yupo na kule wa Kikuyu ndio fujo na wana pesa lakini wamegonga mwamba.Wenzako walisema hivihivi. Na bado
Kama Pole pole alivyokuwa anatoa mikwara sifichi hata mimi nikaogopa, huyu yupo sayari nyingine au ana jeshi yaani kuna watu wana mikwara kumbe maskini anajifungia store hata milinzi mmasai tu hana. Watu wanadhani hawa CCM ni chama tu huku uraiani, hawa wana mizizi ya makada kote kwenye vyombo vya ulinzi. Ingelikuwa kuchukua nchi ni rahisi tu hao wa Kenya fujo zote wametulizwa yule Ruto bado yupo yupo na kule wa Kikuyu ndio fujo na wana pesa lakini wamegonga mwamba.
Amani kila mtu anaitaka sana ila hii nguvu inayo tumika kusaka watu na kuteka ingetumika kutatua migogoro na changamoto za wananchi nadhani hakuna mtu angeandamana . Mm naomba sana viongozi wajirudi hakuna siku matumizi ya nguvu yakazima nguvu ya wananchi bali hasira na visasi ndo vitaongeza... Viongozi wetu wakae chini wawe wapole tuitishe majadiliano kila pande na kuwawajibisha mafisadi .. Amani itaendelea kuwepo ila kwa mikwara hii mm nakuhakikishia ndo tunaharibu nchi yetu kwa upuuzi wetu.Muhimu nchi ibaki na amani