GE2025 Siku nne zijazo kuna viongozi wawili watatoa kauli ngumu sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Kiongozi mmoja ni wadini. Yule mwingine wa kisiasa. Wapo mbioni kutoa kauli ngumu ya kuunga mkono maandamano. Kiongozi huyu atajitokeza yeye na uongozi wake. Akiwashawishi waumini wake na madhehebu ya kikristo kuyaunga mkono maandamano.

Kwa sasa yupo mafichoni hukohuko Dar pembezoni mwa bahari. Huyo kiongozi wa kisiasa yeye yupo CCM na Kwa cheo chake ni Waziri wa wizara nyeti. Mipango yenu haitafanikiwa kwani kufikia kesho mtakuwa mpo nguvuni. Na bado
 
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii ametimiza miaka 76 toka kuzaliwa.

Ametimiza na anaendelea kutimiza kusudio lake hapa duniani kwa kuwanyoosha magaidi na maadui wa Israel popote duniani. Kwa sasa hakuna mtu hapa duniani asiyemsikia au kumjua Mwamba huyu kiboko cha Magaidi wote duniani.

Hongera sana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kazi kubwa uliyoifanya huko Gaza, Lebanon, Syria, Iraq, Yemen na huko Iran. Dunia inakuheshimu sana wewe ni kiboko na kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa Waajemu.
Hongera yake kwa kutimiza huo umri
 
Kiongozi mmoja ni wadini. Yule mwingine wa kisiasa. Wapo mbioni kutoa kauli ngumu ya kuunga mkono maandamano. Kiongozi huyu atajitokeza yeye na uongozi wake. Akiwashawishi waumini wake na madhehebu ya kikristo kuyaunga mkono maandamano.

Kwa sasa yupo mafichoni hukohuko Dar pembezoni mwa bahari. Huyo kiongozi wa kisiasa yeye yupo CCM na Kwa cheo chake ni Waziri wa wizara nyeti. Mipango yenu haitafanikiwa kwani kufikia kesho mtakuwa mpo nguvuni. Na bado
Mo29
 
Na wewe unatumia vpn
Baada ya jf kufungwa sabbu ya kupost maudhui ambayo tayari yapo mtandaoni
 
Yetu macho na masikio. Ila hiyo tarehe 29 mambo ni 🔥🔥
 
Back
Top Bottom