Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Kipenzi chetu anamwaga Ajira Kama niugu.Nimekamlisha kuapply kazi za mama yetu kipenzi
Kipenzi chetu kauporomosha alioujenga Jiwe.
Kipenzi chetu anamwaga Ajira Kama niugu.Nimekamlisha kuapply kazi za mama yetu kipenzi
Hawa ndio wale walimu wakipata kazi wanarukia watoto Hadi mateke.Na kazi bado hajapata
Ni mtu makini sana huyo, usimchukulie poaAchukue tahadhari. Hatutanii
Ni mtu makini sana huyo, usimchukulie poa
Ndiyo unavyo sema. Vitu hivyo havijawa adimu na kila mtu anavipata.Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.
Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako
Tuanze upya bila nyie MafisadiNdiyo unavyo sema. Vitu hivyo havijawa adimu na kila mtu anavipata.
Unadhani nyie mnaopinga ndio mtakawasha moto na nasie tukae tunakutazameni.
mukiwasha na sie tuna washa na hapo kila mmoja atajijuwa.
Mwenye nguvu mpishe.
manaeno haya wewe sio kuleta humu au poipote.
au wewe huishi tanzania
Unataka majanga ya yaingie Tanzania, ataingia kila mtu na watu watakimbilia wapi.
Hayo maendeleo tuloya pata yote yatafifia. Tutarudi nyuma kabisa katika umaskini.
Millioni 60 tupo walahutufikirii unataka tuteseke.
waza vizuri na hayo mawazo yako.
Nakikaja kutokea chochote kutokana na mawazo yako basi ujuwe wewe umo na maisha utajuta.
🤣🤣🤣🤣Hawa ndio wale walimu wakipata kazi wanarukia watoto Hadi mateke.
hicho kuburi chako oct 29 utavaa chupi yako mguu mmojaLindine amani ama sivyo tutawabagaza sana
hicho kuburi chako oct 29 utavaa chupi yako mguu mmoja
Kaka kaka unajua nipo wapi..Octoba Poor Brain anatoka
Mkuu mi ulevi wangu mishangazi..Poor Brain unasoma haya makala au unakunywa whisky imported kutoka ulaya?
Punguza ulevi ndugu angalia jamii yako.
Njoo tuungane kuwatoa mbogamboga madarakaniKaka kaka unajua nipo wapi..
Unapajua kongowe wewe ndo nilipo jificha mimi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi muoga sana hyo tarehe 29 hata road sitosegea aiseeeNjoo tuungane kuwatoa mbogamboga madarakani
Kwahiyo hata kura hupigi kijana??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi muoga sana hyo tarehe 29 hata road sitosegea aiseee
29 Oct naona km inachelewa sana Lazima kukiwasha!
Gwqjima katoa cheche mbona hamjjamkamata?😀Kiongozi mmoja ni wadini. Yule mwingine wa kisiasa. Wapo mbioni kutoa kauli ngumu ya kuunga mkono maandamano. Kiongozi huyu atajitokeza yeye na uongozi wake. Akiwashawishi waumini wake na madhehebu ya kikristo kuyaunga mkono maandamano.
Kwa sasa yupo mafichoni hukohuko Dar pembezoni mwa bahari. Huyo kiongozi wa kisiasa yeye yupo CCM na Kwa cheo chake ni Waziri wa wizara nyeti. Mipango yenu haitafanikiwa kwani kufikia kesho mtakuwa mpo nguvuni. Na bado
Maswali chochezi hayoKwahiyo hata kura hupigi kijana??