Siku nyingine Rais akitoa fungu atenge kwa viwango; Bao la Championi lisiwe sawa federetation, Yanga alistahili kupewa 2 mil kwa bao

Ile sio award. Award ni tofauti na hii ya mama. Award ndio hutegemea ngazi.
Ukiwa na watoto mmoja yuko mafunzo ya ukomandoo! Na mwingine yuko mgambo!

Wakirudi ukawapa zawadi sawa, tambua mkubwa umemvunja moyo!
 
Waswahili bhana ndio nyie mnajadili mtu kajinujulia gari lake mnaanza hoo linakunywa mafuta hilo utadhani ipo siku utamsaidia kuweka hapo Puma...kaweka hamasa wewe unaona hata hiyo hamasa isiwekwe daah...
 
Kwanza tumshukuru mh. raisi wetu kutambua umuhimu wa hizi timu.

Pili usimpangie, unafikiri angeweka zawadi tofauti kwa kila timu, timu ambayo ingepewa ahadi ndogo ingejisikiaje?

Tatu mashindano bado yanaendelea timu ziendelee kujipanga kuliwakilisha taifa vizuri maana timu yoyote ikifanya vizuri au vibaya ni taifa limewakilishwa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka zawadi unataka kuzitolea mwongozo? Watanzania acheni politics kwenye kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] that was moral decision and not a legal one, kwamba Kuna fungu maalumu kwa ajili ya hizo Mambo! Ametumia OC yake kuhamasisha, timu zote ni mabimngwa kwenye Nchi zao [emoji137][emoji137]
 
Motisha
 
Hayo yote ni maumivu ya kupigwa na Casablanca na yanga kumfunga mazembe,mpo njia panda hamuelewi
 
Weka zako na wewe upange viwango. Sio pesa atoe mwingine alafu we umpangie!

PUNGUZA ROHO MBAYA WEWE MAANA KUACHA KABISA NAJUA HUWEZI!
 
Mh Rais hata alipe 20M Kwa Kila bao wewe kama Dunduka wa kawaida hautapata hata buku,tafuta hela utawaua watoto wako Kwa njaa.
 
wivu kkt hata mambo yasiyokuhusu? Hela atoe mwingine we ndio umpangie? We dau la kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…