- Thread starter
- #21
Ukiwa na watoto mmoja yuko mafunzo ya ukomandoo! Na mwingine yuko mgambo!Ile sio award. Award ni tofauti na hii ya mama. Award ndio hutegemea ngazi.
Wakirudi ukawapa zawadi sawa, tambua mkubwa umemvunja moyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na watoto mmoja yuko mafunzo ya ukomandoo! Na mwingine yuko mgambo!Ile sio award. Award ni tofauti na hii ya mama. Award ndio hutegemea ngazi.
Waswahili bhana ndio nyie mnajadili mtu kajinujulia gari lake mnaanza hoo linakunywa mafuta hilo utadhani ipo siku utamsaidia kuweka hapo Puma...kaweka hamasa wewe unaona hata hiyo hamasa isiwekwe daah...
Mpaka zawadi unataka kuzitolea mwongozo? Watanzania acheni politics kwenye kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] that was moral decision and not a legal one, kwamba Kuna fungu maalumu kwa ajili ya hizo Mambo! Ametumia OC yake kuhamasisha, timu zote ni mabimngwa kwenye Nchi zao [emoji137][emoji137]Hii michezo ina ngazi!
Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa).
Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha!
Yanga iko federation cup ( ligi ya shirikisho) vibonde wote wako huku! Ushindi wa huku ulitakiwa motisha ndogo ili wapambane kupanda juu zaidi! 2 mil ingewatosha yanga kwa kila bao!.
Champion league na Federation cup ni kama hapa bongo unavyoona NBC premier league na Azam federation cup
Hazifanani uzito!
Motisha tuwape kwa kuangalia vigezo!
Hilo nalo mkalitazame
Aliyefeli form six huwezi mlinganisha uzani sawa na aliye-resit form four!
Motisha ziwe za kujenga kuliko kubomoa
MotishaKwanza tumshukuru mh. raisi wetu kutambua umuhimu wa hizi timu.
Pili usimpangie, unafikiri angeweka zawadi tofauti kwa kila timu, timu ambayo ingepewa ahadi ndogo ingejisikiaje?
Tatu mashindano bado yanaendelea timu ziendelee kujipanga kuliwakilisha taifa vizuri maana timu yoyote ikifanya vizuri au vibaya ni taifa limewakilishwa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka zawadi unataka kuzitolea mwongozo? Watanzania acheni politics kwenye kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] that was moral decision and not a legal one, kwamba Kuna fungu maalumu kwa ajili ya hizo Mambo! Ametumia OC yake kuhamasisha, timu zote ni mabimngwa kwenye Nchi zao [emoji137][emoji137]
Wakati zinatamkwa mlikuwa mnashangilia leo mmezikosa ndo mnajitia nyenyenyeeeee!!! Mtakufa midomo wazi!Lazima vizingatie motisha ili kuongeza morality!
Angeweka tofauti ingechangia kiasi kuonesha utofauti!
Mh Rais hata alipe 20M Kwa Kila bao wewe kama Dunduka wa kawaida hautapata hata buku,tafuta hela utawaua watoto wako Kwa njaa.
Muziki wa kucheza club bingwa muulize Yanga. Anajua hiloHadi vitu vya kupewa mnaoneana wivu
Watanzania tupunguze wivu
Yes walitakiwa watofautishwa kwa motisha! Club bingwa ni kwa moto sana ukilinganisha na shilikishoMuziki wa kucheza club bingwa muulize Yanga. Anajua hilo
Apunguze tuNgoja tuone...
wivu kkt hata mambo yasiyokuhusu? Hela atoe mwingine we ndio umpangie? We dau la kwakoHii michezo ina ngazi!
Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa).
Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha!
Yanga iko federation cup ( ligi ya shirikisho) vibonde wote wako huku! Ushindi wa huku ulitakiwa motisha ndogo ili wapambane kupanda juu zaidi! 2 mil ingewatosha yanga kwa kila bao!.
Champion league na Federation cup ni kama hapa bongo unavyoona NBC premier league na Azam federation cup
Hazifanani uzito!
Motisha tuwape kwa kuangalia vigezo!
Hilo nalo mkalitazame
Aliyefeli form six huwezi mlinganisha uzani sawa na aliye-resit form four!
Motisha ziwe za kujenga kuliko kubomoa
Kwani wanacheza ligi moja?wivu kkt hata mambo yasiyokuhusu? Hela atoe mwingine we ndio umpangie? We dau la kwako