Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
From what i know watakuwepo secret snipers so wachache ili kutisha watuNatoa rai kwa polisi , msiue watu! Msiue watu please!
Rais Samia, usiue watu, epusha kumwaga damu ya watu wasio na hatia!
Nani atakaepeleka hayo mashtaka huko?Kuna dalili ya yeye kuvunja rekodi nyingine.
Rais wa kwanza mwanamke katka Tanzania na pia Rais wa kwanza Mwanamke toka Afrika kufikishwa mahakama ya kimataifa ya The Hague kwa mashtaka ya mauaji ya wanaompinga.
Uzuri sheria za mahakama ile haziangalii jinsia hivyo vilio vya "mama yetu huyo" havitazingatiwa.
Na hao wanaomchochea wakati anapelekwa huko peke yake wao watakuwa wanachapa mvinyo wakicheka
Nani atakaepeleka hayo mashtaka huko?
Kwani wale wengine wahalifu wa haki za binadamu walipelekwa na nani?Nani atakaepeleka hayo mashtaka huko?
Najiandaa nitoke sasa, insha'Allah Kila kitu kitakua sawaNatoa rai kwa polisi , msiue watu! Msiue watu please!
Rais Samia, usiue watu, epusha kumwaga damu ya watu wasio na hatia!
Nitakuwa kwa maandamano, najiandaa hivi sasa kuelekea eneo la makusanyiko!Natoa rai kwa polisi , msiue watu! Msiue watu please!
Rais Samia, usiue watu, epusha kumwaga damu ya watu wasio na hatia!
Akiuawa Mbowe ni sawa na kuua Tanzania kimataifa, nani atasema Tanzania salama. Na msije mkajaribu. Kifo ni kifo lakini kumuua leader wa opposition kwa maslahi binafsi ya Dictator basi itakuwa balaa. Hata Mugabe hakuthubutu, hata Makaburu hawakuthubutu.Natoa rai kwa polisi , msiue watu! Msiue watu please!
Rais Samia, usiue watu, epusha kumwaga damu ya watu wasio na hatia!
Upuuzi huo. Dictator Samia must go ni slogan, sawa na Samia Dictator aachie madaraka to put it in more political perspective. Concept.Acheni ujinga. Vita mmeitangaza wenyewe kwa ku-declare "Samia must go", sasa hivi mnaanza kujilizaliza na kusema polisi wasitumie nguvu kuvunja maandamano? Mngetangaza maandamano ya amani toka mwanzo mngeonekana mna akili timamu. Maandamano ya amani hayana kaulimbiu za kijinga kama Samia must go.
Kuna stori kijiwe cha gahwa kwamba Mkapa aliuwa sana wapemba....Sasa hiki ni kisasi yakheeKuna dalili ya yeye kuvunja rekodi nyingine.
Rais wa kwanza mwanamke katka Tanzania na pia Rais wa kwanza Mwanamke toka Afrika kufikishwa mahakama ya kimataifa ya The Hague kwa mashtaka ya mauaji ya wanaompinga.
Uzuri sheria za mahakama ile haziangalii jinsia hivyo vilio vya "mama yetu huyo" havitazingatiwa.
Na hao wanaomchochea wakati anapelekwa huko peke yake wao watakuwa wanachapa mvinyo wakicheka
Maandamano ya amani ni haki.Natoa rai kwa polisi , msiue watu! Msiue watu please!
Rais Samia, usiue watu, epusha kumwaga damu ya watu wasio na hatia!
We don't give a fu** ....!Mkimuua jitayarisheni kusoma na kuandika kichina au ki North Korea. Hao ndiyo mtakaa nao
If you want Samia to go it has to be through the ballot box, not through violent maandamano. Any kind of violent demonstration is a crime that has to be dealt with vehemently!Upuuzi huo. Dictator Samia must go ni slogan, sawa na Samia Dictator aachie madaraka to put it in more political perspective. Concept.
Hili shairi nimelifundisha sana.Napenda Mstari wa pressed to the wall dying but fighting back.If we must die, let it not be like hogs
Hunted and penned in an inglorious spot,
While round us bark the mad and hungry dogs,
Making their mock at our accursèd lot.
If we must die, O let us nobly die,
So that our precious blood may not be shed
In vain; then even the monsters we defy
Shall be constrained to honor us though dead!
O kinsmen! we must meet the common foe!
Though far outnumbered let us show us brave,
And for their thousand blows deal one death-blow!
What though before us lies the open grave?
Like men we’ll face the murderous, cowardly pack,
Pressed to the wall, dying, but fighting back!
Haujanijibu swali bro, sijui nani anaetakiwa kupeleka huko.....naomba unifahanishe, au hata sisi raia wa kawaida?Kwani wale wengine wahalifu wa haki za binadamu walipelekwa na nani?
Hata Kenyatta na Ruto wamepelekwa huko.