Siku nyingine tena, 23/9/2024, Mbowe et al should not be killed. Polisi msiue watu!

Siku nyingine tena, 23/9/2024, Mbowe et al should not be killed. Polisi msiue watu!

Nitakuwa kwa maandamano, najiandaa hivi sasa kuelekea eneo la makusanyiko!

NB; Nitakuwa na pistol yangu, Beretta 9mm, ninayomiliki kihalali, ole wake mbwa yeyote atakayehatarisha usalama wangu kwa kuitumia haki yangu ya kikatiba ya kukusanyika kwa amani, sitasita kuitumia kujilinda!
Aga familia yako kabisa mkuu
 
Kuna dalili ya yeye kuvunja rekodi nyingine.
Rais wa kwanza mwanamke katka Tanzania na pia Rais wa kwanza Mwanamke toka Afrika kufikishwa mahakama ya kimataifa ya The Hague kwa mashtaka ya mauaji ya wanaompinga.
Uzuri sheria za mahakama ile haziangalii jinsia hivyo vilio vya "mama yetu huyo" havitazingatiwa.
Na hao wanaomchochea wakati anapelekwa huko peke yake wao watakuwa wanachapa mvinyo wakicheka

Wangalipelekwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete , Magufuli , wote hao waliuwa
 
Acheni ujinga. Vita mmeitangaza wenyewe kwa ku-declare "Samia must go", sasa hivi mnaanza kujilizaliza na kusema polisi wasitumie nguvu kuvunja maandamano? Mngetangaza maandamano ya amani toka mwanzo mngeonekana mna akili timamu. Maandamano ya amani hayana kaulimbiu za kijinga kama Samia must go.
Samia must go hiyo ni lazima tutampiga vita nje na ndani
Ya ccm ndiyo maana unaona kuna viongozi wamemnyamazia ndani ya ccm hadi ameamua kuwaleta wazanzibar kuwa viongozi baada ya kugundua katengwa ndani ya chama chake . SAMIA MAST GO HATUTAKI VIONGOZI WAPUUZI AU WAHUNI AU MAFISADI AU WASIO WAZALENDO KWENYE HII NCHI HATA SIKU MOJA.
 
Naambiwa viongozi wote wa juu. Mwenyekiti Mbowe, Makamu mwenyekiti Lissu, na katibu mkuu, Mnyika wamezuiwa kutoka manyumbani kwao. Polisi ni wengi. Barabara ya uhuru imefungwa kwa kuweka tape.
Watu ni wengi waliojitokeza kwa ajili ya maandamano. Lakini wameshindwa kukusanyika kwa ajili ya kuanza msafara kwenda kinondoni.
Hii ni kwa mujibu wa mdau ambaye yupo front...
Polisi ni wengi na wanaonekana kujiandaa vizuri. Wapo na mbwa na virungu. Mabonu ya machozi na magari ya maji.
 
Acheni kutafuta huruma, badilisheni kauli mbiu

Samia must go ni mtego...

Hamjiulizi kwanini mmezuiwa leo na siku zingine hua mnaruhusiwa?

Ni kwamba hamuna akili au hamuelewi mnachokitaka?

My take; Kama lengo lenu ni kumuondoa Samia, msilielie, pambaneni kwa jasho na damu.
 
Busara ilikuwa ni kuto kufanya maandamano kwa sababu polisi anae wajibika kwenye usalama amehisi usalama utakua mdogo japo ni uwongo.
Busara nyingine polisi aliehisi uwepo wa uvunjifu wa amani kwenye maandamano hayo asingeshindwa kuimarisha usalama kwa vile ana nyenzo nyingi za kuzuiya uhalifu, badala ya kuweka nguvu ya kuzuia hiyo nguvu angehamishia kwenye kulinda na kuimarisha usalama, ambavyo kwa vyovyote vile ipo ndani ya uwezo.
Hawana akili kama hizi
 
Kama ndio hivyo basi hicho kitu hakipo, nilidhani labda ni taasisi au chama kama TLS ila sisi wa tz nguvu zetu zipo kwenye keyboards tu.
tunaweza sana

Acheni ujinga. Vita mmeitangaza wenyewe kwa ku-declare "Samia must go", sasa hivi mnaanza kujilizaliza na kusema polisi wasitumie nguvu kuvunja maandamano? Mngetangaza maandamano ya amani toka mwanzo mngeonekana mna akili timamu. Maandamano ya amani hayana kaulimbiu za kijinga kama Samia must go.
Dhamira kuu ya chama chochote Cha upinzani ni kukiondoa chama tawala madarakani.

Hivyo basi Sa100 must go ni move halali kabisa kwenye utawala wa kidemokrasia.
 
Acheni kutafuta huruma, badilisheni kauli mbiu

Samia must go ni mtego...

Hamjiulizi kwanini mmezuiwa leo na siku zingine hua mnaruhusiwa?

Ni kwamba hamuna akili au hamuelewi mnachokitaka?

My take; Kama lengo lenu ni kumuondoa Samia, msilielie, pambaneni kwa jasho na damu.
Hizo ni harakati za kidemokrasia zimeruhusiwa kikatiba,
.Sa100 must go ingekuwa tishio ikiwa waandamanaji watabeba silaha,

Lakini ikiwa wanabeba mabango wakiomba na kupaza sauti kudai watekaji na wauwaji wa raia wasio na hatia kuchukuliwa hatua,

Hilo halina tatizo kabisa.

Polisi lindeni waandamanaji na wasioandamana, ndio KAZI yenu.
 
Demokrasia ina pillars mkuu...

Hakuna kitu kinaitwa kumwondoa raisi bila uchaguzi kwenye demokrasia...

Unaposema Samia must go, maana yake unataka mapinduzi...

Mapinduzi yanaruhusiwa kwenye demokrasia?

Niliwahi kuandika humu, Mbowe anaposema Samia must go kwenye maandamano ya amani, anaelewa maana yake? au anafikiri ni usanii kama kawaida yake...
 
Mabadiliko ya wananchi kumuondoa kiongozi madarakani bila kushika silaha, Kwa kufanya maandamano, yanaruhusiwa kikatiba.
 
Kuna dalili ya yeye kuvunja rekodi nyingine.
Rais wa kwanza mwanamke katka Tanzania na pia Rais wa kwanza Mwanamke toka Afrika kufikishwa mahakama ya kimataifa ya The Hague kwa mashtaka ya mauaji ya wanaompinga.
Uzuri sheria za mahakama ile haziangalii jinsia hivyo vilio vya "mama yetu huyo" havitazingatiwa.
Na hao wanaomchochea wakati anapelekwa huko peke yake wao watakuwa wanachapa mvinyo wakicheka
Umeshaamka USINGIZINI?
 
Back
Top Bottom