Siku nyingine tena, 23/9/2024, Mbowe et al should not be killed. Polisi msiue watu!

Natoa rai kwa polisi , msiue watu! Msiue watu please!
Rais Samia, usiue watu, epusha kumwaga damu ya watu wasio na hatia!
 
Attachments

  • 20240922_155031.jpg
    20240922_155031.jpg
    99.9 KB · Views: 1
tuwekee kifungu cha katiba tujisomee.
Wananchi waliomweka kiongozi madarakani kikatiba, wanaweza kumuondoa madarakani pia Kwa njia ya maandamano ya Amani.

Sa100 must go ni harakati na hamasa za kuitoa CCCM na sa100 madarakani ukitegemea huu ni muda wa chaguzi.

Acheni kutisha raia wasio na hatia.

Harakati na maandamano ya raia wasio na silaha yameruhusiwa kikatiba.

NB: HAKI ya kuchaguliwa inaenda sambamba na HAKI ya kukataliwa ikiwa Kiongozi anaziba masikio asisikie maelekezo ya boss wake(wananchi).
 
Samimia must go ni valid mwaka 2025 sio sasa mkuu.
 
Nami nikuulize,

Kwani Mbowe alipotamka sa100 must go, alisema ni lini she must go?

Hiyo HOFU yatoka wapi?

Mbowe anaamsha umma wa Watanzania kuikataa CCM na Samia kuanzia muda huu unapoanza uchaguzi wa mitaa na kuendelea Hadi 2025 uchaguzi mkuu.

Vyama vya siasa vimeruhusiwa kufanya KAZI zao kisiasa kikatiba kabisa.

Nami Kwa maoni yangu,

Sa100 must go ni muhimu kabisa Ili vyama vibadilike, Leo CHADEMA ishike Nchi, kesho CCM nk nk.

Hiyo ndio DEMOKRASIA.

Samia Sio Malkia Elizabeth kwamba utawala wake Hauna ukomo!!
 
mkuu umeandika vizuri sana...

ninachopenda wewe ni moja ya watu wanaojadili hoja bila lugha za kuudhi..

turudi kwenye mada...

samia must go haikutakiwa kutamkwa kwenye maandamano, kwasababu kauli kama hii inaweza kuamsha watu wakamtoa raisi madarakani kwa njia zisizo halali(kidemokrasia)...

hii kauli ingetamkwa na mbowe kwenye mikutano yao ya siasa isingechukuliwa kwa uzito wowote, maana anawashawishi watu wachague mtu wa chama chake kipindi cha uchaguzi...

maandamano hua yana sababu na malengo yake...

kimsingi sababu ya haya maandamano ni utekaji na mauwaji ya raia...

lengo lake ni kulazimisha serikali ifanye uchunguzi thabiti na wahusika wachukuliwe hatua...

raisi ameshalaani mauaji hayo, hivyo kwa vyovyote hawezi kupinga maandamano yenye nia njema(kupinga hayo mauaji)...

sasa watu wenye akili na nia njema wangekuja na slogan inayopinga utekaji na mauaji...

ukisema samia must go, maana yake hayo maandamano ni ya kumuondoa samia...

ukisema samia must go in 2025 watu wanakuelewa kirahisi.
 
Ikiwa hataki kuondolewa madarakani Yeye na chama chake,

Kulaani pekee haitoshi bila kuchukua hatua, IGP na Ndugu Masauni kuendelea kuwepo Ofisini Hadi sasa ni sababu kuu ya Mbowe kusema " Samia must go".

Awafute KAZI Ili kuonyesha amechukuzwa na yanayoendelea Kwa uwajibikaji wa pamoja.

Pia wanasiasa wasihamaki wanapotishwa kuondoshwa madarakani kama ambavyo Huwa wanafurahia kusifiwa pindi wanapotimiza wajibu wao.
 
Ni kweli kulaani pekee haitoshi, ndivyo maana aliagiza uchunguzi wa kina ufanyike...

Sasa kabla uchunguzi haujaisha tunaitisha maandamano ya kumtaka atoke madarakani!
 
Sasa unataka IGP ajichunguze ndugu yangu?

Kuwa fair basi, Tanzania ni yetu sote,

Mambo ya vyama tuyaweke kando,

Nchi kwanza, vyama baadaye.
 
Uko sahihi, lakini ulitamani nani achunguze mkuu?

NB;

Mimi sio CCM, sina kadi na wala sijihusishi nao...

Mimi ni muumini wa viongozi watendaji, sio wasanii ndivyo maana nilipenda uongozi wa JPM licha alikosea kwenye mambo mengi ila alikua na nafuu...

Linapokuja suala la ukweli inabidi tuambiane tu bila kujali aliyekosea ni wa chama chako au lah...
 
Dhamira kuu ya chama chochote Cha upinzani ni kukiondoa chama tawala madarakani.

Hivyo basi Sa100 must go ni move halali kabisa kwenye utawala wa kidemokrasia.
Ingekuwa ni kwenye sanduku la kura hiyo move ingekuwa halali na ya kidemokrasia kabisa. Lakini kwenye maandamano ni move ya kukosa hekima na maarifa.
 
Back
Top Bottom