Siku nyingine tena, 23/9/2024, Mbowe et al should not be killed. Polisi msiue watu!

Aga familia yako kabisa mkuu
 

Wangalipelekwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete , Magufuli , wote hao waliuwa
 
Samia must go hiyo ni lazima tutampiga vita nje na ndani
Ya ccm ndiyo maana unaona kuna viongozi wamemnyamazia ndani ya ccm hadi ameamua kuwaleta wazanzibar kuwa viongozi baada ya kugundua katengwa ndani ya chama chake . SAMIA MAST GO HATUTAKI VIONGOZI WAPUUZI AU WAHUNI AU MAFISADI AU WASIO WAZALENDO KWENYE HII NCHI HATA SIKU MOJA.
 
Naambiwa viongozi wote wa juu. Mwenyekiti Mbowe, Makamu mwenyekiti Lissu, na katibu mkuu, Mnyika wamezuiwa kutoka manyumbani kwao. Polisi ni wengi. Barabara ya uhuru imefungwa kwa kuweka tape.
Watu ni wengi waliojitokeza kwa ajili ya maandamano. Lakini wameshindwa kukusanyika kwa ajili ya kuanza msafara kwenda kinondoni.
Hii ni kwa mujibu wa mdau ambaye yupo front...
Polisi ni wengi na wanaonekana kujiandaa vizuri. Wapo na mbwa na virungu. Mabonu ya machozi na magari ya maji.
 
Acheni kutafuta huruma, badilisheni kauli mbiu

Samia must go ni mtego...

Hamjiulizi kwanini mmezuiwa leo na siku zingine hua mnaruhusiwa?

Ni kwamba hamuna akili au hamuelewi mnachokitaka?

My take; Kama lengo lenu ni kumuondoa Samia, msilielie, pambaneni kwa jasho na damu.
 
Hawana akili kama hizi
 
Kama ndio hivyo basi hicho kitu hakipo, nilidhani labda ni taasisi au chama kama TLS ila sisi wa tz nguvu zetu zipo kwenye keyboards tu.
tunaweza sana





 
Dhamira kuu ya chama chochote Cha upinzani ni kukiondoa chama tawala madarakani.

Hivyo basi Sa100 must go ni move halali kabisa kwenye utawala wa kidemokrasia.
 
Hizo ni harakati za kidemokrasia zimeruhusiwa kikatiba,
.Sa100 must go ingekuwa tishio ikiwa waandamanaji watabeba silaha,

Lakini ikiwa wanabeba mabango wakiomba na kupaza sauti kudai watekaji na wauwaji wa raia wasio na hatia kuchukuliwa hatua,

Hilo halina tatizo kabisa.

Polisi lindeni waandamanaji na wasioandamana, ndio KAZI yenu.
 
Demokrasia ina pillars mkuu...

Hakuna kitu kinaitwa kumwondoa raisi bila uchaguzi kwenye demokrasia...

Unaposema Samia must go, maana yake unataka mapinduzi...

Mapinduzi yanaruhusiwa kwenye demokrasia?

Niliwahi kuandika humu, Mbowe anaposema Samia must go kwenye maandamano ya amani, anaelewa maana yake? au anafikiri ni usanii kama kawaida yake...
 
Mabadiliko ya wananchi kumuondoa kiongozi madarakani bila kushika silaha, Kwa kufanya maandamano, yanaruhusiwa kikatiba.
 
Umeshaamka USINGIZINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…