realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Wine inachachua Hadi zile hisia za ndani kabisa.Nini tena, usizue taharuki mdogo wangu 😂
Kwani bila wine ny€g€ hazipandi ?
Hapo ndiyo penyewe sasa 😍, na wewe huwa unamuanzishiaje?
We dada unajua kututoa mahali na kutupeleka mahala fulani hivi.
Mimi naanza kwa kujidekeza kwanza.
Anakuwa ameishaelewa code.
Kwa Sasa napendaga kukaa pale juu kwake nilale.
.........
