Siku saba za raha: tuzogoe 😊 halafu tukutane kesho saa 12 jioni

Siku saba za raha: tuzogoe 😊 halafu tukutane kesho saa 12 jioni

Kizazi kinachoichachusha jf ya sasa kwenye ulingo wa mahaba na mambo yake:
Binti wa zamani
ShesRise_1
Seran
win-one
realMamy
....wapo wengi kwa kweli...!

Muendelee hivyo maana sie wazee hadi booster za namna hii ndio kazi inapigwa.

Tuanzie hapa baadae tutamzungumzia huyo wa kizimkazi, tukianzia kizimkazi na stress za papa tutaishia kutukanana tu
Acha basi babu mie sijui kitu nitoe eboooo
 
Niliwahi kupatana na huyo "mumama", alikuwa akipenda sana kuniita "babaangu".

Sasa wakati tupo tunafanya yetu, alikuwa akitamka maneno kama "Weka yote babaangu", "Hapo hapo babaangu", "Nakupenda babaangu....". Na pia tukishamaliza jambo letu atashukuru kwa kusema; "Asante babaangu".

Huyu mama alinipa raha sana.
sawa babaangu!
 
Nimecheka siyo poa 😂😂😂 na nimeimagine hivyo vilio nikaona inabidi ni-abandon imagination yangu kabla mambo hayajawa mengi.

awkward laugh GIF by Much.gif

Huyu mama alinipa raha sana.
Kumbe kweli mijimama ndiyo mambo yako 😂 eeenhe, tusimulie vingine alivyokupa navyo raha ni vipi?
 
Niliwahi kupatana na huyo "mumama", alikuwa akipenda sana kuniita "babaangu".

Sasa wakati tupo tunafanya yetu, alikuwa akitamka maneno kama "Weka yote babaangu", "Hapo hapo babaangu", "Nakupenda babaangu....". Na pia tukishamaliza jambo letu atashukuru kwa kusema; "Asante babaangu".

Huyu mama alinipa raha sana.
aisee umenifanya nidinde
 
😅😅 Mapenzi yanarun Dunia.
Mapumziko baada ya hasira nyingi za mihangaiko.
Unarudi home unanikuta na kanga Moko.
Unakula kabla ya kula.😋😜
Sasa je 😂

Kuna reply yako moja hiyo ya last year mpaka leo nikikuona naikumbuka.
Ulikua uzi wa unaombaje chakula cha usiku, ukajisemea "huwa unamkalia kihasara hasara mara umfunulie mpaka mwenyewe aiombe" nilicheka sana siku hiyo 😂😂
 
Back
Top Bottom