HakikaWakati ni ukuta ukishindana nao utaumia
Saloon 🤔?,Nimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara kumaliza nywele kabisa. Lengo letu ni kuficha Mnvi na Vipara vinavyokuja naturally.
Anyway nimewaza tu
Mvi zinazingua bana!Mvi zangu nazikubali sana na sina age 35!!! Heri mvi kuliko upara wa utosi😂😂
Umesahau na wale wadadaNimewaza tu wazee wenzangu kuwa tuna kila sababu ya kuwashukuru wenye Barber Shop au Saloon kwa kutusaidia tusiufikirie saaaana uzee tulionao. Wengi tunapaka Black na wengine tunanyoa vipara kumaliza nywele kabisa. Lengo letu ni kuficha Mnvi na Vipara vinavyokuja naturally.
Nakumbuka siku za nyuma nilifika hospital moja alipolazwa mzee wangu mmoja , nusu nimsahau maana sikujua kama ana Mnvi kiasi kile.
Anyway nimewaza tu
Sijakutaja jina, ila ni vema siku moja ukaamua japo watoto wajue uhalisia wakoPumba za kufungulia mwaka
Halafu sijui ni kwanini TRA haioni kuwa hiki ni chanzo kizuri cha kodi. Dawa ni kupandisha kodi kubwa kwenye make ups na manywele ya bandia. Ingewezekana nywele bandia kwa kichwa kimoja iwe milioni 3, na bei ya black kwa ajili ya Mnvi iwe million kwa kichwa.Kwa wanawake ndiyo hatari zaidi. Siku uzalishaji/uuzaji wa make-up na saloon za kike zikipigwa marufuku Kuna wanaume hawatawatambua wake zao.
Watadhani wamelala na mama mkwe kumbe ndiyo yule yule mkewe wa kila siku.
tutaumia wote, mizinga itapandaHalafu sijui ni kwanini TRA haioni kuwa hiki ni chanzo kizuri cha kodi. Dawa ni kupandisha kodi kubwa kwenye make ups na manywele ya bandia. Ingewezekana nywele bandia kwa kichwa kimoja iwe milioni 3, na bei ya black kwa ajili ya Mnvi iwe million kwa kichwa.
Tuone waficha uzee wakiandamana
Kunyoa kipara sio kwasababu ya kuficha mvi kwa wazee wote!! Wengine wananyoa kipara kwasababu mvi zinawasha!!achia mvi unakua kama nyerere na morgan freeman
zinapendeza