Siku Saloon za kiume zikigoma Wazee wengi tutaumbuka

Siku Saloon za kiume zikigoma Wazee wengi tutaumbuka

Hivi mvi huwa zinaanza ukifika miaka mingapi maana nina mwanangu mmoja hajafika hata miaka 32 ila kachafuka mvi kinoma hadi mimi ndo naogopa najisemea kumbe uzee ni mapema hivi?
Inategemea na tabia za mtu. Kwa wakaka wanaopenda kwenda chumvini na wadada wanaokula Koni miaka 30 mvi zinaanza.
 
Back
Top Bottom