Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kwani wakati wa kulala si zinatolewa hizo? Mme atamsahau vipi mkewe wakati analala naye huku mdomo kauacha wazi ampotee vipi!Kwa wanawake ndiyo hatari zaidi. Siku uzalishaji/uuzaji wa make-up na saloon za kike zikipigwa marufuku Kuna wanaume hawatawatambua wake zao.
Watadhani wamelala na mama mkwe kumbe ndiyo yule yule mkewe wa kila siku.