Siku Saloon za kiume zikigoma Wazee wengi tutaumbuka

Kwa wanawake ndiyo hatari zaidi. Siku uzalishaji/uuzaji wa make-up na saloon za kike zikipigwa marufuku Kuna wanaume hawatawatambua wake zao.

Watadhani wamelala na mama mkwe kumbe ndiyo yule yule mkewe wa kila siku.
Kwani wakati wa kulala si zinatolewa hizo? Mme atamsahau vipi mkewe wakati analala naye huku mdomo kauacha wazi ampotee vipi!
 
Hayo maadamano yatapata baraka zote za waziri mkuu Majaliwa!
 
Kuna demu nilitaka kumuoa, nilipoona ana mvi nyingi nikamuacha. Hata mimi kuna demu nilitaka kumuoa akaniacha kwa kudhani nina mvi kichwani wakati sina. Mvi noma sana, ni uzee, hakuna anayependa uzee
 
Wanaume mtaumbuka 🤣🤣🤣 sie tupo sawa tu, hamna piko wala nini, tunaufurahia umri.
 
Tatizo umri haufichiki milele. Utapaka ma superblack lakini itafikia wakati zinadunda.

Hakuna muonekano mbaya kama wa makunyazi ya uzee halafu upake superblack.

Busara ni kukubaliana na hali yako, jiweke nadhifu na uache mambo yaende kihalisia tu.
 
Kwa wanawake ndiyo hatari zaidi. Siku uzalishaji/uuzaji wa make-up na saloon za kike zikipigwa marufuku Kuna wanaume hawatawatambua wake zao.

Watadhani wamelala na mama mkwe kumbe ndiyo yule yule mkewe wa kila siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuu
 
Kwani wakati wa kulala si zinatolewa hizo? Mme atamsahau vipi mkewe wakati analala naye huku mdomo kauacha wazi ampotee vipi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeuza location ya kambi kamanda . Tumeisha😳
 
Tena wanywa konyagi na k-vant wana kazi miaka 40 tu wamejaa mvi kichwani wanajifariji ni za ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…