Hongera mkuuHuyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo.
Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki) lakini mama yake ni chotara wa kiarabu na hivyo binti amekuwa na hizo elements za kiarabu katika muonekano wake.
Mama yake aliweka matamko kwamba hataki mkristo hivyo binti akakubali 'tuwazunguke' kwa kuwaletea mjukuu ili maneno yaishe. Kweli sasa hivi wameufyata maana tayari hali ya binti imeleta majibu.
Singida ongezea na tabora Kuna pisi no pure waarabu na mchanganyiko wa kibongoPale Singida kuna watu ni waarabu kwa 85% ni vile tu hawana visima vya mafuta ingekuwa ni 100%, amini nakwambia 😂
Hongera zake
Chai na bagia
Pokea hongera kwanza Pole tutazungumzana tuKwanini pole?