Siku si nyingi namuoa binti mwenye asili ya Kiarabu kutoka Tanga, amekubali kubadilisha dini

Siku si nyingi namuoa binti mwenye asili ya Kiarabu kutoka Tanga, amekubali kubadilisha dini

Huyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo.

Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki) lakini mama yake ni chotara wa kiarabu na hivyo binti amekuwa na hizo elements za kiarabu katika muonekano wake.

Mama yake aliweka matamko kwamba hataki mkristo hivyo binti akakubali 'tuwazunguke' kwa kuwaletea mjukuu ili maneno yaishe. Kweli sasa hivi wameufyata maana tayari hali ya binti imeleta majibu.
Oa ila tutapita nae na hutafanya kitu.
 
Hana Tabia ya kukuona hivi ?
FB_IMG_16684441612091328.jpg
 
"""Mama yake aliweka matamko kwamba hataki mkristo hivyo binti akakubali 'tuwazunguke' kwa kuwaletea mjukuu ili maneno yaishe. Kweli sasa hivi wameufyata maana tayari hali ya binti imeleta majibu""""".

Vizuri sana pia be care.. nipo paleeeee
 
Huyo binti sio wa Lushoto kweli maana yupo mmoja kama chotara kasoma Bagamoyo mambo ya nyaraka. Kaa chonjo ni tapeli. Alipigwa mjeshi
 
Back
Top Bottom