Uchaguzi 2020 Siku Tano mgombea Urais wa CCM hafanyi kampeni, Kulikoni?

Hizo ni asilimia za kuchaji simu yake sio za kura
"Utafiti unaonyesha kama uchaguzi ungefanyika jumatano ya wiki hii mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr. Magufuli angepata 85%...." katibu mwenezi Mh. Polepole

Kuna haja gani ya kuacha kupumzika. Mimi nashauri JPM endelea na kazi za kulitumikia taifa kuna kura nyingi za heshima kwa ajili yako!
 
1601193257875.png

...............Wamachinga mnisamehe,
vitambulisho siyo lazima Lakini hela hizo tumeshazitumia kulipa wasanii wajaze mikutano yetu...😜😂😂😂👇
 
Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni , hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda , hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi ? Vipi jamani upepo unamuendeaje ? Nasikia anaandaa time mpya baada ya Polepole nd Bashiru timu Yao kaproove massive failure .
Ratiba yake ndiyo ilivyo pia kumbuka huyo ni Rais wa nchi pia anatakiwa kufanyakazi za Urais. By the way hahitaji kufanya kampeni ya nguvu sana wakati anajua kushinda ni lazima. Usisahau pia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wanaendelea na kampeni kama kawaida.
 
Utafiti ulofanywa na bashir, we bure kabisa, lisu kakaza spana mpaka jamaa chalii uko dodoma.

Mtaji wake ni kuiba kura tu vinginevyo TAL anaichukua nchi saa 4 tu
"Utafiti unaonyesha kama uchaguzi ungefanyika jumatano ya wiki hii mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr. Magufuli angepata 85%...." katibu mwenezi Mh. Polepole

Kuna haja gani ya kuacha kupumzika. Mimi nashauri JPM endelea na kazi za kulitumikia taifa kuna kura nyingi za heshima kwa ajili yako!
 
Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Anahangaika Kufanya mikutano na NEC badala ya kufanya Kampeni
 
Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Pia ccm hawajatoa tamko sababu ya
kuahirisha kampeni
 
Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Anapiga push up kwanza
tapatalk_1563218082514.jpeg
 
Back
Top Bottom