Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwishoni mwa campaign Lissu ashauriwe kuacha kuwa reactive na kujibu kila analosema Magu.Kila akizungumza anampa Lissu chakuongea ni bora alivyotulia
ahahahaaaaaaKimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Zipo hoja zinazotakiwa kujibiwa tit for tatMwishoni mwa campaign Lissu ashauriwe kuacha kuwa reactive na kujibu kila analosema Magu.
Yeye afocus tu kwenye sera mbadala, nini (what) na jinsi gani (how) atafanya kwenye issues za msingi zilizo kero kwa raia wengi.
...Nakumbuka kama vile kuna chopa.....mkuuKimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Jiwe ni mpango wa Mungu, kaletwa ili ccm ife"Utafiti unaonyesha kama uchaguzi ungefanyika jumatano ya wiki hii mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr. Magufuli angepata 85%...." katibu mwenezi Mh. Polepole
Kuna haja gani ya kuacha kupumzika. Mimi nashauri JPM endelea na kazi za kulitumikia taifa kuna kura nyingi za heshima kwa ajili yako!
Kawaita wakurugenziccm Tumeccm kuandaa uchakachuaji baada ya kuona upepo siyo na pia wanataka wawe nyuma ya Lisu, yaani akipita mkoa wao wapite baada yake wapate kupenyeza propaganda zao za kishetani kirahisi.Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Watu wengi wanaounga mkono CCM ukiangalia hawana maendeleo binafsi"Utafiti unaonyesha kama uchaguzi ungefanyika jumatano ya wiki hii mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr. Magufuli angepata 85%...." katibu mwenezi Mh. Polepole
Kuna haja gani ya kuacha kupumzika. Mimi nashauri JPM endelea na kazi za kulitumikia taifa kuna kura nyingi za heshima kwa ajili yako!
Anajua hata asipofanya kampeni atashinda kwanini afanye kampeni kwa stress nawakati anajua yeye ndiyo Rais Jana leo na kesho."Utafiti unaonyesha kama uchaguzi ungefanyika jumatano ya wiki hii mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr. Magufuli angepata 85%...." katibu mwenezi Mh. Polepole
Kuna haja gani ya kuacha kupumzika. Mimi nashauri JPM endelea na kazi za kulitumikia taifa kuna kura nyingi za heshima kwa ajili yako!
Siyo kweli huo ni uzushi wa CCM maana sasa wanahaha kutengeneza uchonganishi wa kila aina wameona ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania na huenda Rais aliyepita akaja kuondolewa kinga kama malawi walivyofanya sasaHe has every tool required on the ground running. Ila anasikitika tuu Mnyika na wezake wamefukuzwa kwenye kampeni team ya Lissu.
Huu uchaguzi ni wetu watanzania(JPM v/s TAL), huyu Robert Amsterdam anaingiaje?
Anajua watanzania hawamtaki,hadi CHATO hatumtakiKimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
wanaccm wengi moyoni ni wapinzani lakini pichani wamevaa mavazi ya CCM, inawabidi kukaa CCM kukwepa kubambikiwa kesi na unyanyasaji uonevu uovu mwingi wanaofanyiwa wapinzani.Watu wengi wanaounga mkono CCM ukiangalia hawana maendeleo binafsi
Kwani Tanzania ni kisiwa? Tanzania ipo kwenye jumuia ya kimataifa lazima ikosolewe tokea popote DunianiHuu uchaguzi ni wetu watanzania(JPM v/s TAL), huyu Robert Amsterdam anaingiaje?
NECCCM Tumeccm wamekuchua yale matokeo ya 2015 kipindi cha lowasa wanaongezea kidogo na kuhifadhi wasubiri kutangaza, kwa kifupi CCM wameandaa matokeo kabla ya uchaguzi wenyewe ni fedheha kutumia mabilioni kufanya kampeni huku Tumeccm wakiwa na matokeo mifukoniWenzako wanahesabu matokeo kabisa, hizo asilimia alizozisema Pole pole sio kwamba wanatania....