Uchaguzi 2020 Siku Tano mgombea Urais wa CCM hafanyi kampeni, Kulikoni?

Uchaguzi 2020 Siku Tano mgombea Urais wa CCM hafanyi kampeni, Kulikoni?

"Utafiti unaonyesha kama uchaguzi ungefanyika jumatano ya wiki hii mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr. Magufuli angepata 85%...." katibu mwenezi Mh. Polepole

Kuna haja gani ya kuacha kupumzika. Mimi nashauri JPM endelea na kazi za kulitumikia taifa kuna kura nyingi za heshima kwa ajili yako!
Safi kupumzika kwake siku tano maana yake mambo yanaenda vizuri hana haja ya kuwa na presha.
 
NECCCM Tumeccm wamekuchua yale matokeo ya 2015 kipindi cha lowasa wanaongezea kidogo na kuhifadhi wasubiri kutangaza, kwa kifupi CCM wameandaa matokeo kabla ya uchaguzi wenyewe ni fedheha kutumia mabilioni kufanya kampeni huku Tumeccm wakiwa na matokeo mifukoni
Wasmbie wasifanye mwaka huu huo mchezo wao dunia nzima inafuatilia kila kinachoendelea .
Screenshot_20200927-113831.png
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa nyingi inapotelea kwenye mambo yasiyo na tija kwa Taifa, CCM wametumia mda mwingi kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi wapinzani badala ya maendeleo, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani na ingekuwa na kura ya veto, lakini CCM wanachukua pesa za viwanda zinatumika kurejesha mfumo wa chama kimoja kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na mambo mengi ya hovyo
 
Mchezo gani huo ? kuwashinda wapinzani kwenye uchaguzi? mnachaguliwa mkapinge ili kukamilisha matakwa ya katiba kuwa nchi ina upinzani.
Nini kazi ya upinzani? Maana ya upinzani ni kupinga vyote vya hovyo vinavyofanywa na CCM
 
Jiwe alivyopoa kama maji ya mtungi Lissu noma sana .Nikikumbuka Kauli zake za kibabe ndani miaka hii mitano halafu alivyopoa ghafla sijui kapatwa na nini ? Lissu utaua mtu .
Screenshot_20200927-123621.png
 
Mzee ana pumzi ndogo sana ya kuchana freestyles kwenye beats za Lissu, hivyo lazima amwombe DJ a break kidogo na kuplay jingo za wadhamini wa kipindi (Kina polepole na bashiru)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtukufu kagundua kuwa watanzania hawataki kusikia vitu vinaitwa Ndege flyover bwawa la umeme reli kwani vina ufisadi wa kutisha mno ndiyo maana CAG hajakanyaga huko
 
Jiwe alivyopoa kama maji ya mtungi Lissu noma sana .Nikikumbuka Kauli zake za kibabe ndani miaka hii mitano halafu alivyopoa ghafla sijui kapatwa na nini ? Lissu utaua mtu .View attachment 1582389
Alijinadi ni Rais wa wanyonge lakini watumishi wa umma ambao ni sehemu ya wanyonge hawajalipwa nyongeza za mishahara kwa miaka mitano
 
Huyu mzee akisikia taarifa kama hizi anazidiwa sana presha .
Screenshot_20200926-232746.png
 
Back
Top Bottom