The European Union(EU) wamefanya utafiti wao na kueleza kuwa, kama uchaguzi mkuu ungefanyika Wiki hili, CCM ingeshinda kwa zaidi ya 85%.
Kumbuka ni kadhaa zimefanywa na watu/Makundi tofauti tofauti na kuonesha ushindi kwa CCM kwa zaidi ya 85%.
Mpaka hapo kunakuwa na haja gani ya kupoteza muda gharama nyingi wakati ushindi umeshapatikana?
Hata hivyo, kwa mtu unayejiamini si lazima kila siku upige Kampeni.
Lakini pia wagombea wengine wana kofia mbili. Kofia ya ugombea na Kofia ya utawala. Kwa hiyo muda mwingine huyu mwenye Kofia mbili anakuwa ana kazi za utawala tofauti na yule ambaye ni mgombea tu.
Nawasilisha.