Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ameambiwa akipanda chopa atapata shoti ya moyoNa Chopa wamekodi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameambiwa akipanda chopa atapata shoti ya moyoNa Chopa wamekodi!
Unaambiwa hata Hitla alikufa na wafuasi wanao sifu na kuabuduMnasumbuka bure JPM hata bila kampeni aliyoyafanya ni kampeni tosha.
MAGUFULI4LIFE.
Waliitwa watendaji wakaagizwa kukata majina yote wagombea wenye viti mitaa na vijiji toka upinzani. Wakurugenzi itakuwa kuwakumbusha kuwatangaza washindi ni CCM tu vingineyo wajitumbue.Yuko gereji gia imegoma kuingia, sasa ameona awaone wakurugenzi na awape maagizo ya kufanya, kwani mpaka sasa yeye ni boss wao.
Alianza kampeni tokea 2016 amekuwa akipita kugawa pesa kuwadhalilisha wabunge wa upinzani mbele za wananchi, hata kule Rufiji alinunua jogoo kwa tshs laki moja na kumpigia debe mzee muuza jogoo awe mwenza wa mama yake mzazi.Alishafanya kampeni muda mrefu sasa hivi anaendelea na shuguri nyingine
Uzuri wa sasa wanaccm wengi ni wapinzani moyoni imekuwa rahisi kutoa siri zote za CCMWaliitwa watendaji wakaagizwa kukata majina yote wagombea wenye viti mitaa na vijiji toka upinzani. Wakurugenzi itakuwa kuwakumbusha kuwatangaza washindi ni CCM tu vingineyo wajitumbue.
Mpaka sasa ccm tuna uhakika wa kushinda tunachokitafuta saa hizi ni ushindi wa kishindo tu.Anyooshwe kwa kukosa weledi na kuzungukwa na mambumbumbu
Inawezekana kweli, kwa maana kwa jinsi walivyokuwa wanatamba wameua upinzani, hiki kinachotokea kimewapa mshtuko wa moyo.Nyie hamuwajui sisiemu. Sasa hivi wanajadili plan B maana washagundua wabongo sio mabwege kama walivyodhani
Uko sahihi, kwa mipango hii ya kuwaita wakurugenzi ambao ndio wasimamizi wa uchaguzi, idadi ya kura zilizopigwa itazidi zilizoandikishwa maradufu.98 chache sana atafikisha 198
Sisi wengine sio wapinzani baadhi ni Wana CCM na wengine hatuna vyamaApone haraka apite aone hasira za wananchi dhidi ya uonevu unyanyasaji wake kwa wapinzani
Naunga mkono hojaSisi wengine sio wapinzani baadhi ni Wana CCM na wengine hatuna vyama
SOOOTE tumelimia meno ametutesa waTanzania kwa ujumla
Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Fake newsThe European Union(EU) wamefanya utafiti wao na kueleza kuwa, kama uchaguzi mkuu ungefanyika Wiki hili, CCM ingeshinda kwa zaidi ya 85%.
Kumbuka ni kadhaa zimefanywa na watu/Makundi tofauti tofauti na kuonesha ushindi kwa CCM kwa zaidi ya 85%.
Mpaka hapo kunakuwa na haja gani ya kupoteza muda gharama nyingi wakati ushindi umeshapatikana?
Hata hivyo, kwa mtu unayejiamini si lazima kila siku upige Kampeni.
Lakini pia wagombea wengine wana kofia mbili. Kofia ya ugombea na Kofia ya utawala. Kwa hiyo muda mwingine huyu mwenye Kofia mbili anakuwa ana kazi za utawala tofauti na yule ambaye ni mgombea tu.
Nawasilisha.
Magufuli alishaongea miaka 5 yoteNyie si muendelee na Kampeni au mmeishiwa masimango? Mnasubiri Magufuli aongee ndo Lissu apate cha kumsimanga.
Tetemeko la kisiasa la nguvu ya 56.7 kuikumba Tz. Never like before.Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Kwa iyo?Magufuli alishaongea miaka 5 yote
to kama zako huwa zinadumaza uwezo wa kutafakari, hamka mkuu!Utafiti ulofanywa na bashir, we bure kabisa, lisu kakaza spana mpaka jamaa chalii uko dodoma.
Mtaji wake ni kuiba kura tu vinginevyo TAL anaichukua nchi saa 4 tu