HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Hata asipofanya kampeni kabisa ameshashindaKimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Mm ningemshauri apumzike tu
Asubiri ushindi
Kwani ushindi kwake NI lazima hakuna was kumfikia
Wapinzani wajipange tu upya