HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Hata asipofanya kampeni kabisa ameshashindaKimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Wewe hauta kufa!Unaambiwa hata Hitla alikufa na wafuasi wanao sifu na kuabudu
Panic mode iko juu sana. Na Magufuli amezungukwa na watu wanafiki akina Polepole na Bashiru ambao hawako tayari kumuambia kuwa Upinzani umeongezeka nguvu kwa 200% katika utawala wake. Kiukweli Magufuli hata wilayani kwake Chato kama kutakuwa na Tume Huru Mahufuli hawezi kumshinda Lissu.Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na Bashiru timu yao kaproove massive failure .
Hakuna uchaguzi wowote wa kidemokrasia ambapo mgombea yeyote aliwahi kupata kura zaidi ya 80%.JPM 95%
sasa anaongeza asilimia tu .....akikaza buti utakuta anagonga mpaka 98%
Ufisadi wa Ndege ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, ufisadi SGR wizi wa trilion 1.5 wakamtoa kafara CAG ndivyo vinamtafuna mtukufu magufuli mpaka kaamua kurudi Dodoma kupanga Goli la mkono apore ushindi ajitangazie ushindi kwa njia haramu za kishetaniHana jipya yule amekariri SGR, Nyerere dan, ndege, mabilioni ya afya, barabara na kuhubiri ubaguzi tu
ICC haipo mbali nao kwani tayari wapelelezi wa vyombo mbalimbali vya kimataifa wapo Tanzania wanaifuatilia NECCCM Tumeccm kwa ukaribu mkubwa na pia nyendo za wakurugenziccm zinachunguzwa baada ya kuambiwa hapo Dodoma wawatangaze wabunge wa CCM kwa nguvu hata kama hawakupata kura hata mbili, CCM wanaenda kuvuruga Amani ya Nchi hii kupitia vyeo vya kuteuliwa na CCM kisha kupewa jukumu la kutenda haki ambayo inaenda kuvurugwa na CCMHakuna uchaguzi wowote wa kidemokrasia ambapo mgombea yeyote aliwahi kupata kura zaidi ya 80%.
Ni madikteta pekee ndio wamewahi kutangaza kuwa wamepata mpaka 99%. Lakini wanapofurushwa madarakani hawapati hata 40% ya kuwaunga mkono.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana na juzi alikuwa mkali kama Mbogo pale Dodoma. Anambwatukia kila mtu. Bashiru nusura apigwe kibao baada ya kumwambia jiwe asiwe na wasi wasi atashjnda kwa kishindo.LISSU mtu mbaya sana, ataua mtu kwa presha
Nasubiri maoni yako juu ya Mgombea wa ACT uliyempigia upatu mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu! Kisha uka'mpiga' chini 'kwa msala upitao'!Kama gari yenye shida ya plug[emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Unamdanganya!Alishafanya kampeni muda mrefu sasa hivi anaendelea na shuguri nyingine
Kuiba kura hapa kwetu ni rahisi sana. Waliopewa kulinda kura, polisina toss ndio wasimamizi wa zoezi hilo. Kuna kura toka vituo hewa, toka vituo visivyo na mawakala vinavyo badirishwa matokeo na vituo ambavyo mawakala huwekwa ndani kusingiziwa wamefanya fujo. Ukisikia CCM wanataka kura zihesabiwe upya kwenye kituo cha kujumulishia matokeo toka katani ni maandalizi ya kuingiza kura mpya kuipa ushindi CCM.Ishu ya kuiba kura ni ngumu sana, sema vyama vya upinzani huwa haviko serious na usimamizi.