Siku tatu kabla ya Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA, Mwanza yote inazizima

Wakati mnaenda Mwanza kumbukeni mwenzenu kikwete amewahi kupigwa mitama, chungeni ndimi zenu.
 
Kuna viongozi wa aina mbili kubwa. 5% ni version ya kina JPM, majaliwa na 95% ni version ya kina huyo kicheche na wenzake wao hawana upeo wa kuona mbali, wala uthubutu. Taifa likiwa na viongozi wa aina hii ya pili kutumbukia shimoni ni jambo tarajiwa.
 
CDM tumerudi upyaaaaa, peopleeeeeeeeees!!!
 
uongo wa nini mimi niko mwanza waka sijui chochote kuhusu huo mkutano na wala hakuna shangwe yoyote
 

Wewe Heche acha uongo huo
 
Abarikiwe samia Suluhu kwa kutokuwa mbaguzi.
 
CHADEMA kimebaki na wahuni tu, kuanzia mwenyeiti wao Hadi wafuasi wao.
Dr. Slaa, Kitila Mkumbo, Prof. Safari na wasomi wengine walijenga na kusimamia mission na vision ya chama; waliziba sana madhaifu ya mwenyeiti ambayo Kwa Sasa yanaonekana hadharani hatimaye kupuuzwa na wanachama.

Sasa, unadhani Sugu, John Mrema, Msigwa na wahuni wengine waliobaki ndani ya chama wanauwezo wa kujenga hoja na kutoa mwelekeo sahihi wa chama? Au wanaenda na matukio na mihemko tu!

Hapa Mwanza hakuna mtu makini ataenda Kirumba au Furahisha kumsikiliza Mbowe, Sugu, Nyangali Wala Mrema.
Angalau saaana TUNDU LISSU.

NB: Mwanza is above your petty politics.
 
Imedhihirika kwamba kukimbia Hoja sio dawa. Unaweza kukimbia Hoja za familia yako, lakini huwezi kukimbia Hoja za Jamhuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…