nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Wakati mnaenda Mwanza kumbukeni mwenzenu kikwete amewahi kupigwa mitama, chungeni ndimi zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna viongozi wa aina mbili kubwa. 5% ni version ya kina JPM, majaliwa na 95% ni version ya kina huyo kicheche na wenzake wao hawana upeo wa kuona mbali, wala uthubutu. Taifa likiwa na viongozi wa aina hii ya pili kutumbukia shimoni ni jambo tarajiwa.CAG Kichere sijui alikuwa na maana gani alipokuja na report ya kutuambia kwamba kujengwa kwa stendi kubwa ya mabasi ya kwenda mikoani maeneo ya Mbezi maarufu kama Magufuli ungesababisha foleni kubwa eneo hilo, pia ujenzi wa barabara ya njia nane kutoka Kimara hadi Kibaha kwamba Magufuli alikurupuka hakufuata mpango kazi!
Leo ujenzi wa barabara hiyo unaelekea kukamilika lakini hata kwa mtu ambaye hana akili kama wa ufipa lazima atakuambia hii kazi ni nzuri.
Ukiitizama stendi ya Magufuli ilivyo ,pia ukaitizama barabara ya njia nane kutoka Kimara hadi Kibaha lazima ujue kuna kiongozi alisimamia kodi za Watanzania na alishughulisha kichwa kwelikweli.
CDM tumerudi upyaaaaa, peopleeeeeeeeees!!!Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.
View attachment 2486257
Nilichobaini ni kwamba, Wananchi walipunjwa sana kwa kitendo cha kuzuia Mikutano ya hadhara, na wana kiu mno ya kusikia hoja tofauti, yaani mtu mmoja tu alitaka asikike yeye tu peke yake yaani, huu ulikuwa ubinafsi wa Aibu sana!
Hongereni sana wakazi wa Mwanza, Sisi Chadema tunawaahidi Spana za uhakika, Msiwe na wasiwasi.
Mungu ibariki Mwanza.
TETESI : HUENDA TUNDU LISSU AKAUNGANISHA KANDA YA VICTORIA KWA CHOPA ILI KUONGEZA NGUVU
Tuendelee kuitegea sikio JF kwa taarifa zaidi .
0000Bora zero ya ukweli kuliko ile ya kulazimisha, nasikia mmepewa no . Wewe ni chawa no.?
uongo wa nini mimi niko mwanza waka sijui chochote kuhusu huo mkutano na wala hakuna shangwe yoyoteKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.
View attachment 2486257
Nilichobaini ni kwamba, Wananchi walipunjwa sana kwa kitendo cha kuzuia Mikutano ya hadhara, na wana kiu mno ya kusikia hoja tofauti, yaani mtu mmoja tu alitaka asikike yeye tu peke yake yaani, huu ulikuwa ubinafsi wa Aibu sana!
Hongereni sana wakazi wa Mwanza, Sisi Chadema tunawaahidi Spana za uhakika, Msiwe na wasiwasi.
Mungu ibariki Mwanza.
TETESI : HUENDA TUNDU LISSU AKAUNGANISHA KANDA YA VICTORIA KWA CHOPA ILI KUONGEZA NGUVU
Tuendelee kuitegea sikio JF kwa taarifa zaidi .
Chawa na Kunguni hawezi elewa ...Hivi Chadema kuna mtu mwenye akili timamu kweli.???
Endelea kushangaaNitashangaa sna sana mwanza ikiwa watashiriki huu ufirauni wa chadema
Macho unayo ?Sijaona homa yoyote wala taifodi. Wengi hawajui hilo
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.
View attachment 2486257
Nilichobaini ni kwamba, Wananchi walipunjwa sana kwa kitendo cha kuzuia Mikutano ya hadhara, na wana kiu mno ya kusikia hoja tofauti, yaani mtu mmoja tu alitaka asikike yeye tu peke yake yaani, huu ulikuwa ubinafsi wa Aibu sana!
Hongereni sana wakazi wa Mwanza, Sisi Chadema tunawaahidi Spana za uhakika, Msiwe na wasiwasi.
Mungu ibariki Mwanza.
TETESI : HUENDA TUNDU LISSU AKAUNGANISHA KANDA YA VICTORIA KWA CHOPA ILI KUONGEZA NGUVU
Tuendelee kuitegea sikio JF kwa taarifa zaidi .
Abarikiwe samia Suluhu kwa kutokuwa mbaguzi.Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.
View attachment 2486257
Nilichobaini ni kwamba, Wananchi walipunjwa sana kwa kitendo cha kuzuia Mikutano ya hadhara, na wana kiu mno ya kusikia hoja tofauti, yaani mtu mmoja tu alitaka asikike yeye tu peke yake yaani, huu ulikuwa ubinafsi wa Aibu sana!
Hongereni sana wakazi wa Mwanza, Sisi Chadema tunawaahidi Spana za uhakika, Msiwe na wasiwasi.
Mungu ibariki Mwanza.
TETESI : HUENDA TUNDU LISSU AKAUNGANISHA KANDA YA VICTORIA KWA CHOPA ILI KUONGEZA NGUVU
Tuendelee kuitegea sikio JF kwa taarifa zaidi .
Usiondoke JF kwa taarifa zaidiKutakuwa na TV yoyote itakuwa live wakuu?
Palipo na CHADEMA.. Magonjwa hayakai hata yale Magonjwa MtambukaSijaona homa yoyote wala taifodi. Wengi hawajui hilo
Sio spana za EU ni takwa la Katiba ya Jamhuri. Mama hataki kucheza Katiba!Sio hisani bali Spana za EU
Imedhihirika kwamba kukimbia Hoja sio dawa. Unaweza kukimbia Hoja za familia yako, lakini huwezi kukimbia Hoja za Jamhuri.Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.