ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Nitolee takataka hapa hao TEC kama wana nguvu wamuondoe Samia madarakani tuone huo ubavu wao.Aise we ujui siasa kaimbe taarabu,
Nchi nyingi San ulimwengu even developed country kunakuwa Kuna kuwa na watu, jamii au hata taasisi zinazokuwa na nguvu au influence kubwa ndan ya serikali husika.
mfano marekan kila rais anayetaka kuingia madarakan awe wa republic au democratic lazima ajikombe kwa hizi jamii za waizraeli waliopo pale marekan coz ndio jamii inayomiliki uchumi mkubwa include heavy industries pale marekan Ivo Zina power kubwa kiuchumi na influence kubwa ndan ya serikali ya marekan hivo ukiwaendea vibaya imekula kwako utafanyiwa figisu mpka unatoka.
Hata nchi nyingine nyingi za latin America unakuta Kuna mtu hata siyo mwanasiasa but watu wenye pesa ndefu especially wale watu wa madawa ya kulevya unakuta anapawa kubwa ndan ya serikali hivo anaweza hata kuweka mtu wake madarakan ili kulinda biashara yake au misimamo yke.
Mfano mwingine south Africa makabulu ndiyo watu wenye power ndan ya serikali ya south Africa mf jakobo Zuma alikuwa anaendeshwa kama gari bovu na haojamaa, coz ndio watu wenye uchumi mkubwa pale south wale jamaa hata wakikung'anya shamba huna sehem ya kushtaki coz wameshika kila sector means wameweka watu wao(vibaraka) iwe mahakama, bunge mpka baraza la mawaziri
NB. Haya mambo ni ngumu San kuyaona au kuyajua ukiwa kilaza.
Mkataba wa bandari unaanza kutekerezwa mwezi wa kumi sasa sijui hapo utasemaje.
Hizo nguvu ilizo nazo TEC ina pewa na serikali na siku serikali ikiamua inawanyanganya hizo nguvu walizo nazo.