Siku TEC ikitoa waraka kupinga uchaguzi uliochezewa matokeo CCM itaondoka madarakani

Nitolee takataka hapa hao TEC kama wana nguvu wamuondoe Samia madarakani tuone huo ubavu wao.

Mkataba wa bandari unaanza kutekerezwa mwezi wa kumi sasa sijui hapo utasemaje.

Hizo nguvu ilizo nazo TEC ina pewa na serikali na siku serikali ikiamua inawanyanganya hizo nguvu walizo nazo.
 
We inaonekana akili yako ni kama kuku mwenye mdondo.

Kama unafatilia siasa tangu TEC watoe waraka umesikia serikali kutoa tamko lolote kuhusu bandari?
 
We inaonekana akili yako ni kama kuku mwenye mdondo.

Kama unafatilia siasa tangu TEC watoe waraka umesikia serikali kutoa tamko lolote kuhusu bandari?
Ww ndo mpumbavu msemaji wa serikali amesha sema kuwa serikali inaendelea na mpango uwekezaji wa bandarini.

Kama hao TEC wana wanayo hiyo nguvu unayo isema basi waambie wajaribu kufanya mpango wa kuipindua serikali huone kama hicho kijtaasisi chenu hakija sambaratishwa ndani ya siku moja na viongozi wake wote kufia jera.

Alafu nitaje ni waraka gani ambao TEC walisha utoa serikali ikautekeleza hebu utaje hapa.
Hao TEC washukuru tu kwasababu maraisi kutoka imani nyingine huwa ni watu waungwana tu.
Ipo siku watakutana na kiongozi asiye penda na kuvumilia upumbavu atakuja kukasambaratisha hako kaatisisi kenu hako mpoteane.

Hakuna taasisi iliyo kuwa na nguvu kuanzia kiuchumi hata ndani
ya serikali nchini Uturuki kama FETO lakini ilipo jaribu kuitomasa kuitomasa serikali bila shaka unajua kilicho ipata sembuse hii takataka inayo itwa TEC.
 
TEC Ndo wanapoteza Mvuto au Hao unaowasema wasiojua Maana ya Uwepo wao na Nafasi yao kwa Jamii ndo Hawana Mvuto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…