Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,423
Umeonyesha hofu kama mtu mwingine yeyote aliyedanganywa akavalishwa hofu kwa makusudi, ila kwenye marlezo yako sijaona hoja hata moja ambao angalau imejaribu kushikilia maelezo yako yaliyopwaya au angalau kuishikilia na kuithibitisha hofa yako.Mfumo wa majimbo una faida kubwa sana kwa sababu unazipa sehemu mbalimbali mamlaka ya kujisimamia, kufanya maamuzi yanayohusu maeneo yao, kufaidika na rasilimali zao, kupata viongozi wao, n.k.
Hata hivyo, kuna jambo ambalo tunapaswa kulikubali mapema kabisa kwamba mfumo wa majimbo na siasa za kikabila ni vitu ambavyo ni vigumu sana kuvitenganisha.
Tukikubaliana kuingia kwenye mfumo wa majimbo, ni muhimu pia kuelewa kwamba nguvu za kisiasa zitaanza kujipanga kwa kiasi kikubwa kulingana na ukubwa na ushawishi wa makundi ya kikabila. Kwa hiyo, kama kabila moja lina idadi kubwa zaidi kuliko mengine pamoja na makabila yenye ukaribu nao, uwezekano wa kundi hilo kuwa na ushawishi mkubwa kwenye nafasi za kitaifa utaongezeka.
Kila jimbo litakuwa na mamlaka yake, lakini unapokuja kwenye serikali kuu nikimaanisha Rais (pamoja na wateule wake), Senate, Bunge, idadi na nguvu za makundi makubwa ya watu zitaendelea kuwa na uzito mkubwa.
Tunaona mifano mbalimbali barani Afrika yenye siasa za majimbo ambapo makundi ya kikabila yamekuwa yakihusiana kwa karibu. Nigeria, kwa mfano, ina historia ndefu ya siasa zinazohusisha makundi makubwa ya kikanda na kikabila, Kenya pia imekuwa na siasa ambazo mara nyingi zimehusishwa na nguvu za makundi makubwa ya kikabila.
Kwa Tanzania, changamoto yake inaweza kuwa kubwa zaidi kwa sababu hatuna makabila mawili au matatu yenye ukubwa unaokaribiana kwa kiasi kikubwa.
Wasukuma ndio kundi kubwa zaidi la kikabila, wakitajwa kuwa karibia asilimia 18
Si hivyo tu wana utani na ukaribu wa kihistoria na makabila mengine ya kanda ya ziwa, pia Wagogo, Wanyamwezi, Wafipa, Wanyaturu, n.k. ukitokea uchaguzi hawa watauwa kitu kimoja.
Na jamii hizi wanazaliana kweli kweli, familia moja watu 8,
huwezi kulinganisha na Mnyakyusa, Mchaga. Mhehe, Mngoni Mpare ambae akipata mtoto moja, wawili au kaenda sana watatu kamaliza,
Na kwenye zoezi la kura wanaangalia idadi ya watu hawaangalii utajiri, elimu, n.k. kinachoangaliwa ni idadi ya watu.
Kwa hiyo, tukijenga mfumo wa majimbo bila kuweka utaratibu wa makusudi wa kusawazisha uwakilishi na mgawanyo wa madaraka, tunaweza kujikuta tumeunda mfumo ambao, kwa vitendo, unafanya ukubwa wa kabila na makabila ya karibu kuwa moja ya vigezo muhimu vya nguvu za kisiasa.
HITIMISHO
Mfumo wa majimbo ni mzuri ila bila tahadhari za mapema kabla ya utekelezaji wake, inawezekana kuona faida zake kwenye majimbo pekee lakini mambo yakawa tofauti kabisa kitaifa kwenye urais, Senate na hata Bunge litaendeshwa na makundi makubwa ya kikabila kuliko misingi ya uwakilishi wa kitaifa. Mfano ni kama Kenya wala sio mbali.
Kuna namna huu mfumo tulionao kwa sasa ni mzuri ila tu unahitaji kurekebishwa kuhimiza uwajibikaji, kupunguza kupeana vyeo kwa kujuana kuzidi uwezo na viongozi kuwa na nguvu kupitiliza. Mfumo huu mtu mwenye cheo kikubwa anaweza kutokea kabila lolote bila kujali ukubwa wake, Mfumo wetu umeweza sana kupunguza mambo ya kikabila kwa kiasi chake sheria ya nchi ni mikoa yote sio kama Kenya au Nigeria kila jimbo na sheria zake, Mfumo wetu wa sasa unachohitaji ni marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na Warioba. Watanganyika wawe na nchi yao, Wazanzibar wawe na nchi yao, uwajibikaji uongezeke, Viongozi wapunguziwe nguvu.
Hv ni kwamba huna kazi ya kufanya mpaka uandike uchafu km huu? Ndiyo maana watu wengi ni maskini akili km hii yako huwezi kufungua ht kioski. Hakuna sensa iliyowahi kuhusisha kabila la mtu hiyo asilimia 18 we umeitoa wapi, we ht taahira atadharau! Halafu ni aibu kujadili ukabila karne hii ya 21, kweli mwafrika uwezo wake ni afadhali ya NYANI.Mfumo wa majimbo una faida kubwa sana kwa sababu unazipa sehemu mbalimbali mamlaka ya kujisimamia, kufanya maamuzi yanayohusu maeneo yao, kufaidika na rasilimali zao, kupata viongozi wao, n.k.
Hata hivyo, kuna jambo ambalo tunapaswa kulikubali mapema kabisa kwamba mfumo wa majimbo na siasa za kikabila ni vitu ambavyo ni vigumu sana kuvitenganisha.
Tukikubaliana kuingia kwenye mfumo wa majimbo, ni muhimu pia kuelewa kwamba nguvu za kisiasa zitaanza kujipanga kwa kiasi kikubwa kulingana na ukubwa na ushawishi wa makundi ya kikabila. Kwa hiyo, kama kabila moja lina idadi kubwa zaidi kuliko mengine pamoja na makabila yenye ukaribu nao, uwezekano wa kundi hilo kuwa na ushawishi mkubwa kwenye nafasi za kitaifa utaongezeka.
Kila jimbo litakuwa na mamlaka yake, lakini unapokuja kwenye serikali kuu nikimaanisha Rais (pamoja na wateule wake), Senate, Bunge, idadi na nguvu za makundi makubwa ya watu zitaendelea kuwa na uzito mkubwa.
Tunaona mifano mbalimbali barani Afrika yenye siasa za majimbo ambapo makundi ya kikabila yamekuwa yakihusiana kwa karibu. Nigeria, kwa mfano, ina historia ndefu ya siasa zinazohusisha makundi makubwa ya kikanda na kikabila, Kenya pia imekuwa na siasa ambazo mara nyingi zimehusishwa na nguvu za makundi makubwa ya kikabila.
Kwa Tanzania, changamoto yake inaweza kuwa kubwa zaidi kwa sababu hatuna makabila mawili au matatu yenye ukubwa unaokaribiana kwa kiasi kikubwa.
Wasukuma ndio kundi kubwa zaidi la kikabila, wakitajwa kuwa karibia asilimia 18
Si hivyo tu wana utani na ukaribu wa kihistoria na makabila mengine ya kanda ya ziwa, pia Wagogo, Wanyamwezi, Wafipa, Wanyaturu, n.k. ukitokea uchaguzi hawa watauwa kitu kimoja.
Na jamii hizi wanazaliana kweli kweli, familia moja watu 8,
huwezi kulinganisha na Mnyakyusa, Mchaga. Mhehe, Mngoni Mpare ambae akipata mtoto moja, wawili au kaenda sana watatu kamaliza,
Na kwenye zoezi la kura wanaangalia idadi ya watu hawaangalii utajiri, elimu, n.k. kinachoangaliwa ni idadi ya watu.
Kwa hiyo, tukijenga mfumo wa majimbo bila kuweka utaratibu wa makusudi wa kusawazisha uwakilishi na mgawanyo wa madaraka, tunaweza kujikuta tumeunda mfumo ambao, kwa vitendo, unafanya ukubwa wa kabila na makabila ya karibu kuwa moja ya vigezo muhimu vya nguvu za kisiasa.
HITIMISHO
Mfumo wa majimbo ni mzuri ila bila tahadhari za mapema kabla ya utekelezaji wake, inawezekana kuona faida zake kwenye majimbo pekee lakini mambo yakawa tofauti kabisa kitaifa kwenye urais, Senate na hata Bunge litaendeshwa na makundi makubwa ya kikabila kuliko misingi ya uwakilishi wa kitaifa. Mfano ni kama Kenya wala sio mbali.
Kuna namna huu mfumo tulionao kwa sasa ni mzuri ila tu unahitaji kurekebishwa kuhimiza uwajibikaji, kupunguza kupeana vyeo kwa kujuana kuzidi uwezo na viongozi kuwa na nguvu kupitiliza. Mfumo huu mtu mwenye cheo kikubwa anaweza kutokea kabila lolote bila kujali ukubwa wake, Mfumo wetu umeweza sana kupunguza mambo ya kikabila kwa kiasi chake sheria ya nchi ni mikoa yote sio kama Kenya au Nigeria kila jimbo na sheria zake, Mfumo wetu wa sasa unachohitaji ni marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na Warioba. Watanganyika wawe na nchi yao, Wazanzibar wawe na nchi yao, uwajibikaji uongezeke, Viongozi wapunguziwe nguvu.
Muone huyu mpumbavu na yeye, hiyo sensa ulifanya na mamako?Sio 18% tu ni zaidi ya 32%.
Hizi coments za kutoana akili mnazipenda kweli humu, ungeweza kutoa mawazo yako kwa weledi kabisa bila hata ya kumtoa akili mleta mada mkuu jifunzeni kuwasilisha mawazo mbadala bila lugha za kejeliHv ni kwamba huna kazi ya kufanya mpaka uandike uchafu km huu? Ndiyo maana watu wengi ni maskini akili km hii yako huwezi kufungua ht kioski. Hakuna sensa iliyowahi kuhusisha kabila la mtu hiyo asilimia 18 we umeitoa wapi, we ht taahira atadharau! Halafu ni aibu kujadili ukabila karne hii ya 21, kweli mwafrika uwezo wake ni afadhali ya NYANI.
Kwa Taarifa yako Tanzania ilikuwa na mfumo wa Majimbo na hakukuwa na UkabilaMfumo wa majimbo una faida kubwa sana kwa sababu unazipa sehemu mbalimbali mamlaka ya kujisimamia, kufanya maamuzi yanayohusu maeneo yao, kufaidika na rasilimali zao, kupata viongozi wao, n.k.
Hata hivyo, kuna jambo ambalo tunapaswa kulikubali mapema kabisa kwamba mfumo wa majimbo na siasa za kikabila ni vitu ambavyo ni vigumu sana kuvitenganisha.
Tukikubaliana kuingia kwenye mfumo wa majimbo, ni muhimu pia kuelewa kwamba nguvu za kisiasa zitaanza kujipanga kwa kiasi kikubwa kulingana na ukubwa na ushawishi wa makundi ya kikabila. Kwa hiyo, kama kabila moja lina idadi kubwa zaidi kuliko mengine pamoja na makabila yenye ukaribu nao, uwezekano wa kundi hilo kuwa na ushawishi mkubwa kwenye nafasi za kitaifa utaongezeka.
Kila jimbo litakuwa na mamlaka yake, lakini unapokuja kwenye serikali kuu nikimaanisha Rais (pamoja na wateule wake), Senate, Bunge, idadi na nguvu za makundi makubwa ya watu zitaendelea kuwa na uzito mkubwa.
Tunaona mifano mbalimbali barani Afrika yenye siasa za majimbo ambapo makundi ya kikabila yamekuwa yakihusiana kwa karibu. Nigeria, kwa mfano, ina historia ndefu ya siasa zinazohusisha makundi makubwa ya kikanda na kikabila, Kenya pia imekuwa na siasa ambazo mara nyingi zimehusishwa na nguvu za makundi makubwa ya kikabila.
Kwa Tanzania, changamoto yake inaweza kuwa kubwa zaidi kwa sababu hatuna makabila mawili au matatu yenye ukubwa unaokaribiana kwa kiasi kikubwa.
Wasukuma ndio kundi kubwa zaidi la kikabila, wakitajwa kuwa karibia asilimia 18
Si hivyo tu wana utani na ukaribu wa kihistoria na makabila mengine ya kanda ya ziwa, pia Wagogo, Wanyamwezi, Wafipa, Wanyaturu, n.k. ukitokea uchaguzi hawa watauwa kitu kimoja.
Na jamii hizi wanazaliana kweli kweli, familia moja watu 8,
huwezi kulinganisha na Mnyakyusa, Mchaga. Mhehe, Mngoni Mpare ambae akipata mtoto moja, wawili au kaenda sana watatu kamaliza,
Na kwenye zoezi la kura wanaangalia idadi ya watu hawaangalii utajiri, elimu, n.k. kinachoangaliwa ni idadi ya watu.
Kwa hiyo, tukijenga mfumo wa majimbo bila kuweka utaratibu wa makusudi wa kusawazisha uwakilishi na mgawanyo wa madaraka, tunaweza kujikuta tumeunda mfumo ambao, kwa vitendo, unafanya ukubwa wa kabila na makabila ya karibu kuwa moja ya vigezo muhimu vya nguvu za kisiasa.
HITIMISHO
Mfumo wa majimbo ni mzuri ila bila tahadhari za mapema kabla ya utekelezaji wake, inawezekana kuona faida zake kwenye majimbo pekee lakini mambo yakawa tofauti kabisa kitaifa kwenye urais, Senate na hata Bunge litaendeshwa na makundi makubwa ya kikabila kuliko misingi ya uwakilishi wa kitaifa. Mfano ni kama Kenya wala sio mbali.
Kuna namna huu mfumo tulionao kwa sasa ni mzuri ila tu unahitaji kurekebishwa kuhimiza uwajibikaji, kupunguza kupeana vyeo kwa kujuana kuzidi uwezo na viongozi kuwa na nguvu kupitiliza. Mfumo huu mtu mwenye cheo kikubwa anaweza kutokea kabila lolote bila kujali ukubwa wake, Mfumo wetu umeweza sana kupunguza mambo ya kikabila kwa kiasi chake sheria ya nchi ni mikoa yote sio kama Kenya au Nigeria kila jimbo na sheria zake, Mfumo wetu wa sasa unachohitaji ni marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na Warioba. Watanganyika wawe na nchi yao, Wazanzibar wawe na nchi yao, uwajibikaji uongezeke, Viongozi wapunguziwe nguvu.
Tukienda kwa SIMPLE MAJORITY uwezekano wa rais kutoka "kabila kubwa" kila mara upo. Labda, iwe 50%+1 then mshindi asipopatikana top winners washindanishwe...Nigeria wana majimbo, na kabila kubwa ni Hausa [ 30%], lakini wamewahi kutoa Rais mmoja tu, tena wa mpito.
..kuwa Rais wa nchi ni jambo la bahati nasibu ndogo sana, na kunategemea mambo mengi.
..Tanzania haina kabila, wala kanda, wala " jimbo, " linaloweza kushinda uchaguzi kwa kutegemea idadi yake peke yake, bila kuungwa mkono na wananchi wa maeneo mengine.
Nigeria kuna kabila la Hausa ambao wanaongoza kwa wingi wakifuatiwa na wayoruba lakini kwenye kabila la wahausa sikuhizi linafahamika kama Hausa Fulani..Nigeria wana majimbo, na kabila kubwa ni Hausa [ 30%], lakini wamewahi kutoa Rais mmoja tu, tena wa mpito.
..kuwa Rais wa nchi ni jambo la bahati nasibu ndogo sana, na kunategemea mambo mengi.
..Tanzania haina kabila, wala kanda, wala " jimbo, " linaloweza kushinda uchaguzi kwa kutegemea idadi yake peke yake, bila kuungwa mkono na wananchi wa maeneo mengine.
Ukabila karne ya 21 upo sana tu, Nenda Kenya, Nenda Nigeria, Nenda Uganda, n.k.Hv ni kwamba huna kazi ya kufanya mpaka uandike uchafu km huu? Ndiyo maana watu wengi ni maskini akili km hii yako huwezi kufungua ht kioski. Hakuna sensa iliyowahi kuhusisha kabila la mtu hiyo asilimia 18 we umeitoa wapi, we ht taahira atadharau! Halafu ni aibu kujadili ukabila karne hii ya 21, kweli mwafrika uwezo wake ni afadhali ya NYANI.
Ulipiga mswaki hitory ?Kwa Taarifa yako Tanzania ilikuwa na mfumo wa Majimbo na hakukuwa na Ukabila
Kwa kweli sera ya majimbo ni mbovu. Inawezekana ndio sababu CCM inataka kuiua Chadema. Kwa kuwa wanaamini hawa watu watavuruga mifumo yote tuliyojenga tangu uhuru.Mfumo wa majimbo una faida kubwa sana kwa sababu unazipa sehemu mbalimbali mamlaka ya kujisimamia, kufanya maamuzi yanayohusu maeneo yao, kufaidika na rasilimali zao, kupata viongozi wao, n.k.
Hata hivyo, kuna jambo ambalo tunapaswa kulikubali mapema kabisa kwamba mfumo wa majimbo na siasa za kikabila ni vitu ambavyo ni vigumu sana kuvitenganisha.
Tukikubaliana kuingia kwenye mfumo wa majimbo, ni muhimu pia kuelewa kwamba nguvu za kisiasa zitaanza kujipanga kwa kiasi kikubwa kulingana na ukubwa na ushawishi wa makundi ya kikabila. Kwa hiyo, kama kabila moja lina idadi kubwa zaidi kuliko mengine pamoja na makabila yenye ukaribu nao, uwezekano wa kundi hilo kuwa na ushawishi mkubwa kwenye nafasi za kitaifa utaongezeka.
Kila jimbo litakuwa na mamlaka yake, lakini unapokuja kwenye serikali kuu nikimaanisha Rais (pamoja na wateule wake), Senate, Bunge, idadi na nguvu za makundi makubwa ya watu zitaendelea kuwa na uzito mkubwa.
Tunaona mifano mbalimbali barani Afrika yenye siasa za majimbo ambapo makundi ya kikabila yamekuwa yakihusiana kwa karibu. Nigeria, kwa mfano, ina historia ndefu ya siasa zinazohusisha makundi makubwa ya kikanda na kikabila, Kenya pia imekuwa na siasa ambazo mara nyingi zimehusishwa na nguvu za makundi makubwa ya kikabila.
Kwa Tanzania, changamoto yake inaweza kuwa kubwa zaidi kwa sababu hatuna makabila mawili au matatu yenye ukubwa unaokaribiana kwa kiasi kikubwa.
Wasukuma ndio kundi kubwa zaidi la kikabila, wakitajwa kuwa karibia asilimia 18
Si hivyo tu wana utani na ukaribu wa kihistoria na makabila mengine ya kanda ya ziwa, pia Wagogo, Wanyamwezi, Wafipa, Wanyaturu, n.k. ukitokea uchaguzi hawa watauwa kitu kimoja.
Na jamii hizi wanazaliana kweli kweli, familia moja watu 8,
huwezi kulinganisha na Mnyakyusa, Mchaga. Mhehe, Mngoni Mpare ambae akipata mtoto moja, wawili au kaenda sana watatu kamaliza,
Na kwenye zoezi la kura wanaangalia idadi ya watu hawaangalii utajiri, elimu, n.k. kinachoangaliwa ni idadi ya watu.
Kwa hiyo, tukijenga mfumo wa majimbo bila kuweka utaratibu wa makusudi wa kusawazisha uwakilishi na mgawanyo wa madaraka, tunaweza kujikuta tumeunda mfumo ambao, kwa vitendo, unafanya ukubwa wa kabila na makabila ya karibu kuwa moja ya vigezo muhimu vya nguvu za kisiasa.
HITIMISHO
Mfumo wa majimbo ni mzuri ila bila tahadhari za mapema kabla ya utekelezaji wake, inawezekana kuona faida zake kwenye majimbo pekee lakini mambo yakawa tofauti kabisa kitaifa kwenye urais, Senate na hata Bunge litaendeshwa na makundi makubwa ya kikabila kuliko misingi ya uwakilishi wa kitaifa. Mfano ni kama Kenya wala sio mbali.
Kuna namna huu mfumo tulionao kwa sasa ni mzuri ila tu unahitaji kurekebishwa kuhimiza uwajibikaji, kupunguza kupeana vyeo kwa kujuana kuzidi uwezo na viongozi kuwa na nguvu kupitiliza. Mfumo huu mtu mwenye cheo kikubwa anaweza kutokea kabila lolote bila kujali ukubwa wake, Mfumo wetu umeweza sana kupunguza mambo ya kikabila kwa kiasi chake sheria ya nchi ni mikoa yote sio kama Kenya au Nigeria kila jimbo na sheria zake, Mfumo wetu wa sasa unachohitaji ni marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na Warioba. Watanganyika wawe na nchi yao, Wazanzibar wawe na nchi yao, uwajibikaji uongezeke, Viongozi wapunguziwe nguvu.
Ulipiga mswaki hitory ?
Tanzania tangu enzi za ukoloni inatumia mfumo wa mikoa
Magavana wa enzi za ukoloni waliteuliwa na Malkia kuwa wawakilishi wa Serikali ya Uingereza katika maeneo yao, kwa namna inayofanana na mfumo wa sasa ambapo Wakuu wa Mikoa na Wilaya huteuliwa na Rais.View attachment 3674380
Sijui huwa mnasoma historia gani, Tanzania ilikuwa ina utawala wa Majimbo/provinces kabla ya kuwa na mikoa
Sasa Mfumo wa majimbo/devolution lengo lake kubwa ni kuweka mamlaka zaidi kwa wananchi, tena mfumo wa serikali ya majimbo wanaopendekeza Chadema ni bora zaidi kuliko mfumo wa Serikali 2 (mfumo wa Serikali mbili hauna tofauti sana na majimbo tofauti, Zanzibar ni semi autonomous)Hao Governors wa enzi za ukoloni walikuwa wanateuliwa na Malkia kama wakuu wa mikoa wa sasa wanavyoteuliwa na Rais
Ndizo faida nilizotaja ambazo zipo upande mmoja wa shilingi wa mfumo wa Serikali ya Majimbo.Sasa Mfumo wa majimbo/devolution lengo lake kubwa ni kuweka mamlaka zaidi kwa wananchi, tena mfumo wa serikali ya majimbo wanaopendekeza Chadema ni bora zaidi kuliko mfumo wa Serikali 2 (mfumo wa Serikali mbili hauna tofauti sana na majimbo tofauti, Zanzibar ni semi autonomous)
Soma vizuri kuhusu types of government.View attachment 3674380
Sijui huwa mnasoma historia gani, Tanzania ilikuwa ina utawala wa Majimbo/provinces kabla ya kuwa na mikoa
Kama hufuatilii siasa za nchi za Africa zinazotumia mfumo wa majimbo huwezi kuelewa.Mbona hamna point uliyoandika! Hujaonyesha uhusiano wa mfumo wa majimbo na siasa za kikabila. Watu wanatumia mfumo wa majimbo kukabiliana na siasa za kikabila, siyo kuleta siasa za kikabila. Mbona watanzania wenzangu tunafikiri kinyumenyume!?
Kenya hawana mfumo wa majimbo. Wanaita ugatuzi tu, yaani devolution. Inafanana sana na mfumo wa majimbo. Na lengo lake ni kupambana na siasa za ukabila. Nigeria majimbo mengi yalianzishwa wakati wa utawala wa kijeshi. Lengo ni kupambana na nguvu ya siasa za kikabila, hasa kabila la waigbo. Sasa wewe unapata wapi hili la kusema mfumo wa majimbo unaleta siasa za ukabila!!!? Unaambiwa jambo unameza tu bila hata kulitafakari!!Kama hufuatilii siasa za nchi za Africa zinazotumia mfumo wa majimbo huwezi kuelewa.
Nigeria na Kenya pamoja na kuwa nchi zilizoelimika wameshindwa kudhibiti nguvu ya mfumo huu kueneza siasa za kikabila.
Hata Magufuli aliwahi kusema hilo alipoalikwa Kenya, tatizo lao kubwa ni Ukabila,