Siku tutayothubutu kuingia rasmi mfumo wa Serikali ya Majimbo sioni Rais mwingine zaidi ya Msukuma. Makabila mengine mtasubiri sana

Siku tutayothubutu kuingia rasmi mfumo wa Serikali ya Majimbo sioni Rais mwingine zaidi ya Msukuma. Makabila mengine mtasubiri sana

Ukabila ni hatari sana...


Cc: Mahondaw
Mbaya sana hio,

Mfano mdogo tu nitautoa kwa Kenya yenye serikali ya majimbo vs Tz serikali unitary

Tuangalie kabila ambalo lipo pande zote ila sio kubwa sana, nitatolea mfano Wakurya

Kwa Kenya ukishakuwa kabila dogo sahau kufika mbali, wakurya waliopo upande wa Kenya ni kabila dogo halimo top 10 hawapewi uzito kwenye uongozi, miradi, ajira, vyeo, n.k.

Ukija Tanzania Mkurya pamoja na kuwa kabila lisilo ndani ya top 10 ya makabila makubwa kwa idadi wana enjoy mfumo mfano utawakuta Jeshini vyeo vikubwa, Wakurugenzi, wakuu wa mikoa, hata vyama vikubwa vya upinzani kama Heche wa Chadema anaepigania serikali ya majimbo bila kufikiria athari kwenye jamii yake.
 
Back
Top Bottom