Naingia Jf nakomenti kila uzi, kama nina kdrama naangalia weeee mpaka basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe popote unaweza kulala,yaani una usingizi. Wapo ambao usingizi unasumbua balaa. Unacheck movie ndio macho na akili inajiongeza kwenye movie,na usingizi ndio unaukimbiza kabisa
Namtafta mkaka Wa watu namshawishi tuzini...ishawahi kukutokea kukosa usingiz Kabisa na je Huwa unafanya Nini Mpaka unalala.?
mimi hupata shots glass of wine Angalau Napata kulala vipi wewe Mdau hufanya kitu gani ?View attachment 1371904
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Mi namwamsha mama x napiga kimoko usingizi hauchelewi
Navuta akiba yangu ya KVant na packt yangu ya fegi hapo usingizi hauruki.
Mala nyingi huwa nakua nililala mchana, so nafanya kuongeza masaa ya kusoma usku.
Au mbali na hapo kama sina hiyo mood, nafanya kutoka night natafuta pa kwenda.