Usijal..watu wa kanda yenu mna shida sanaaKaka mimi nipo sana humu ila hilo jina nasahau hata kukutag 😂😂
Kaka huwezi kunifanyia discrimination kali namna hii 😁 ila I RECEIVEUsijal..watu wa kanda yenu mna shida sanaa
Kumbe hata mimi na admire kupata kazi serikalini, siku ikitokea nimepata nitaona kawaida tu.!
Duniani hapa big deal ni kumcha Mungu tu aisee.
Nimekuelewa sana mtoa mada.
Kweli kabisa nikikumbuka tukiwa shule primary tukaambiwa wazuri wako olevel tukafika wakasema Hawa sio wazuri wako a level 🤣 tukafika tena wakasema wako vyuo vikuu tukafika wanasema wako mtaani.😂😂😂
Duu nilichoka
Mwisho; Maisha ni kukubaliana na uhalisia na kulidhika
Maskini huwa tunajifariji kama hivi.
Aawapi, kujiajir bila mtaji unaigiza filamu.Utakuja kuanzisha Uzi hapa namna ya kuacha kazi, na kujiajiri
Aawapi, kujiajir bila mtaji unaigiza filamu.
Pengine zipo siku humwelewi. Post zake huyu mkuu ni za maana kama ulivyosema sema kuna wakati nafikiri akishatumia vitu fulani vya same pale makanya sasa.Huwa sikupendi/kukukubali lakini leo kutoka moyoni nasema umeandika kitu cha maana na ukweli tupu. Hongera sana mkuu
Pengine zipo siku humwelewi. Post zake huyu mkuu ni za maana kama ulivyosema sema kuna wakati nafikiri akishatumia vitu fulani vya same pale makanya sasa.