Siku utakayofanikiwa mambo yatakuwa hivi kwa sehemu kubwa

Kumbe hata mimi na admire kupata kazi serikalini, siku ikitokea nimepata nitaona kawaida tu.!

Duniani hapa big deal ni kumcha Mungu tu aisee.

Nimekuelewa sana mtoa mada.

Utakuja kuanzisha Uzi hapa namna ya kuacha kazi, na kujiajiri
 


🀣🀣🀣🀣

Unaambiwa mzuri Kama Malaika subiri siku uwaone hao MalaikaπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Huwa sikupendi/kukukubali lakini leo kutoka moyoni nasema umeandika kitu cha maana na ukweli tupu. Hongera sana mkuu
Pengine zipo siku humwelewi. Post zake huyu mkuu ni za maana kama ulivyosema sema kuna wakati nafikiri akishatumia vitu fulani vya same pale makanya sasa.
 
Pengine zipo siku humwelewi. Post zake huyu mkuu ni za maana kama ulivyosema sema kuna wakati nafikiri akishatumia vitu fulani vya same pale makanya sasa.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mkuu usitake kuniambia unamanisha Gomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…